Kitu cha Arusha

Humwambii kitu ARIFUU!! Yeye ni PEOPLE's POOOWER tuu!
 
Mbona anafanan Dr slaa?
 
Badala ya kwenda kufanyakazi,anapoteza mda wake bure.

Huyu yupo kazini hapo kulikomboa Taifa lake toka kwa majangili; nyie magamba kazi yenu kuwapanga watoto wa shule mabarabarani na ndio maana wanashindwa mitihani wanapata division 0000000000000000!!
 
View attachment 92021

Kitu cha Arusha hapo jana......koment mwenyewe


Picha kwa hisani ya The Citizen

Dada wa watu ni jasiri kwa kwenda mbele; ujumbe mzito kwa Magessa Mulongo na vikaragosi vyake, no amout of vitisho kiburi, bunduki na askari magodoro watakaoshinda umma uliokwisha jitambua.

Mulongo kama hulijui hilo kamuulize Muamar Ghadafi, Ben Ali na Bashar Assad!
 
Daima penye ukeli uwongo hukaa pembeni, hata ccm wanalijua hilo!!!! Karagabaho!!!!
 
Huyu yupo kazini hapo kulikomboa Taifa lake toka kwa majangili; nyie magamba kazi yenu kuwapanga watoto wa shule mabarabarani na ndio maana wanashindwa mitihani wanapata division 0000000000000000!!

Pole pole mkuu,
Taifa lina shinda njaa, ukiuliza mlo utajibwa mboga haijaiva au moto haujakolea.......... Yaani watoto shule barabarani kuna nini mitaani? sijawahi kuona !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…