Aaah wapi...wengine tuna mzio na hizo party. Binafsi sipendi crowds kabisa. So chances of me kuwa kwenye party ni slim to none.
Kama mfuko wako mnene wewe nunua tu. Najua utazi impress sana totoz hata yule anayemalizia PhD lol.
Mi mbeba maboksi ntabaki na Maxima yangu ya 1999. Mambo ya car notes siyawezi bana.