Chid Benz anataraji kufunga ndoa siku za hivi karibuni

Chid Benz anataraji kufunga ndoa siku za hivi karibuni

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,039
Katika mahojiano yaliyofanyika siku ya jana kati ya Ayo tv na mwanamuziki Chid Benzi, mwanamuziki huyo ameeleza wazi kuwa yuko njiani kutangaza ndoa.

Ameyasema hayo baada ya kutoka soba katika vita ya kupambana kuachana na madawa ya kulevya. ameeleza kuwa mwanamke anayetaraji kumuoa hajawahi kuzaa nae japo mwanamuziki huyo amesema ana watoto.

Soma pia: Idadi ya watoto wa Chid Benz yazua gumzo

 
Jambo jema sana Chid Benz.
Changamoto za ndoa nahakika kile kitambi kita pungua,na atahimili mikikimikiki
 
Eti kuna demu jana kaniambia nimuongezee milioni 10 anunue gari. Ikabidi kwanza nicheke kwanza, sasa sijui ananiona mimi Elon Musk 😭
 
Back
Top Bottom