Imekaa sawa kwa bei, kimazingira naki brand ingawa kina Prince Charles wenyewe wanaweza kuliita monstrosity" linaloharibu jina la RR, but then again such buggers are usually tree huggers so they may appreciate more the 2.0.
Halafu mie msemaji sana, wanasema wasemaji sana si wafanyaji, kwa hiyo inawezekana nakuwa kama wale wanaoweka sticker za gari kwenye friji wakisema "ntalinunua" wakifikia uwezo wa kununua wanafanya jingine.
Isitoshe ntashindwa hata kutinga nalo kwenye parties zenu washashi msije kmjua Kiranga. Na sasa nishawaharibia wabongo wengine wanaoendesha Evoque hawakawii kuwaona Viranga wote.
Mie natafuta friji linalofanya order ya chakula kwenye Wi-Fi, nisihitaji gari kabisa. Usafiri wangu uwe treadmill na vyuma vya basement iwe kazi yangu gym.
But first I gotta pull some Madoff made models change fingerprints like Jack Klutas, and leave stories like a modern day Plutarch.