Kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa Wanaume tunawajua wanawake vizuri sana ila tunazuga hatuwajui kwa Maslahi yetu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,413
Hamjambo!

Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu.

Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao wanavyojielewa.
Isipokuwa ni ujanja ujanja wetu wa kujifanya hatuwaelewi kusudi kulinda maslahi yetu yanayotokana na uzembe wetu, lawama zetu kwao, na maamuzi yetu ya kijinga ambayo tunayafanyaga kwa makusudi.

Hakuna mwanaume asiyejua mwanamke anataka nini.
Hakuna mwanaume anayedanganywa na mwanamke. Huyo mwanaume hayupo. Ila wengi wanazugaga.

Hakuna mwanaume ambaye hajui mwanamke asiyempenda.

Hakuna mwanaume ambaye hajui kuoa single mother ni mtego. Na wote tunajua kuwa Single mother hawezi kukupenda kuliko alivyompenda Baba mtoto wake, na anavyompenda mtoto wake. Wanaume wote tunajua hayo yote.

Hakuna mwanaume asiyejua kuwa huwezi kuununua upendo wa mwanamke kwa pesa. Hakuna na hayupo! Tunaponunua wanawake na kuwafanya wawe wetu ni kwaajili ya tamaa zetu za Mwili tuu. Akilini tunajua huyu mwanamke amefata tuu pesa. Na anampenda mshikaji wa zamani kuliko mimi. Tunajua yote.

Hata kusema Mwanamke ana akili kuliko mwanaume hizo ni Trick tuu. Mwanamke hawezi kuwa na akili kuliko mwanaume dunia iende irudi. Tunajua hivyo ila tunasema kwa maslahi yetu.

Kifupi ni kuwa hakuna kiumbe kinachoeleweka kama Mwanamke. Kwa sababu kiumbe chochote kinachotumia mihemko/ hisia kinaeleweka tofauti na kiumbe kinachotumia AKILI.

Kumekucha!
 
Upo sahihi mkuu.

Nimetoka kumwambia manzi mmoja issue kama hii as if mimi na wewe tulikuwa kwenye wazo moja ndani ya muda mmoja.
 
Alafu mwanamke akikupenda kumjua haichukui nafasi ya Daktari, utajua mapema sana. Lakini wao kutujua inakuwa mziki mnene. Hawajui, wanabahatisha. Kuwahudumia na kuwapa attention wanajua ndio unawapenda. Kumbe ...
 
Point pekee wanatumia kutunyanyasia ni hii hapa!
1000060492.jpg
 
Huu ni ukweli usiopingika. Kama lile la kuwasifia kuwa wanaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja kumbe sisi tunawachora tu ili ku-maximize pay off zetu.
Hamjambo!

Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu.

Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao wanavyojielewa.
Isipokuwa ni ujanja ujanja wetu wa kujifanya hatuwaelewi kusudi kulinda maslahi yetu yanayotokana na uzembe wetu, lawama zetu kwao, na maamuzi yetu ya kijinga ambayo tunayafanyaga kwa makusudi.

Hakuna mwanaume asiyejua mwanamke anataka nini.
Hakuna mwanaume anayedanganywa na mwanamke. Huyo mwanaume hayupo. Ila wengi wanazugaga.

Hakuna mwanaume ambaye hajui mwanamke asiyempenda.

Hakuna mwanaume ambaye hajui kuoa single mother ni mtego. Na wote tunajua kuwa Single mother hawezi kukupenda kuliko alivyompenda Baba mtoto wake, na anavyompenda mtoto wake. Wanaume wote tunajua hayo yote.

Hakuna mwanaume asiyejua kuwa huwezi kuununua upendo wa mwanamke kwa pesa. Hakuna na hayupo! Tunaponunua wanawake na kuwafanya wawe wetu ni kwaajili ya tamaa zetu za Mwili tuu. Akilini tunajua huyu mwanamke amefata tuu pesa. Na anampenda mshikaji wa zamani kuliko mimi. Tunajua yote.

Hata kusema Mwanamke ana akili kuliko mwanaume hizo ni Trick tuu. Mwanamke hawezi kuwa na akili kuliko mwanaume dunia iende irudi. Tunajua hivyo ila tunasema kwa maslahi yetu.

Kifupi ni kuwa hakuna kiumbe kinachoeleweka kama Mwanamke. Kwa sababu kiumbe chochote kinachotumia mihemko/ hisia kinaeleweka tofauti na kiumbe kinachotumia AKILI.

Kumekucha!
 
Mtibeli Kuna mwanamke nimeanzisha naye urafiki,lengo langu awe urafiki yangu tu.lakini kila siku huwa ananiuliza kwamba nafanya kazi gani huwa namjibu mimi ni jobless je nipo sahihi

Upo sahihi kabisa.
Kwanza mwanamke ukimwambia wewe ni jobless na wakati anakuona unanamna ya kukufanya uishi unazidi kumfanya avutike kwako. Kutaka kujua zaidi
 
Alafu mwanamke akikupenda kumjua haichukui nafasi ya Daktari, utajua mapema sana. Lakini wao kutujua inakuwa mziki mnene. Hawajui, wanabahatisha. Kuwahudumia na kuwapa attention wanajua ndio unawapenda. Kumbe ...
Atakayepingana na this naked truth akapimwe mkojo.

Huo ndiyo ukweli sema wanawake wanavyopakwa mafuta kwa mgongo wa chupa wanadhani ndiyo ukweli kumbe tunawachora tu.
 
Back
Top Bottom