Kitoweo

Kitoweo

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Uswazi vituko haviishi. Huyu mamba kapatikana. Hapo jamaa wanangoja waanze kumchuna ngozi halafu anabanikwa!
crocrodile.jpg
 
DU!
hapa ni wapi mkuu?
Kukaa naye tu hivyo hasa kwa hivyo vitoto inahitaji ujasiri mkubwa sana.
Yaani ni bonge la mamba hili.
 
wapi hapo? halafu nyama ya mamba tamu kinoma.
 
Itakuwa Kyela hiyo, wanaita "ingwina" yaani mamba. Acha chezea nyongo yake wewe, utadedi!
 
hiyo ni picha ya mamba mfu ambaye wamemuwekea kipande cha mti katika mdomo wake,
naloli ingwina @ SIMBA
 
Back
Top Bottom