Kitovu Kikubwa kwa mtoto

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima mbele wana JF
Mwanangu wa kike mwenye miezi 10; kitovu chake sikiielewi
akiwa na njaa kinakuwa cha kawaida ila akishiba kinakuwa kikubwa.
nashindwa kujua kitovu chake ni kikubwa au ni kidogo?
kama ni kikubwa kuna lolote naweza fanya ili kiwe cha kawaida?
Nawasilisha
 
Mkuu nami nipo ktk foleni nasubiri majibu kutoka kwa wataalam! Naishi na mtoto wa mdogo wangu ana tatizo kama hilo, ila yeye kitovu chake ni kikubwa wakati wote awe ameshiba ama ana njaa.
 
Inaitwa henia ya watoto,haina tiba .kitovu kilifunga nje ila ndani hakikufunga baada ya kukatika .Baada ya miezi mitatu kinaisha kwa baadhi ya watoto.tembelea Furaha dispensary kwa Dr Bingwa wa watoto Prop Masawe kwa ushauri.
 
Jituoriginal,uko sahihi kuhusu tatizo la hernia ya watoto. Ila tiba yake ni upasuaji mdogo. Pelekeni hao watoto kwa daktari mtaelekezwa cha kufanya.ni shida ndogo tu na ikitibiwa mtaisahau kabisa
 
naishi ya nje ya dar, hiyo dispensary ipo wapi?
 
Jituoriginal,uko sahihi kuhusu tatizo la hernia ya watoto. Ila tiba yake ni upasuaji mdogo. Pelekeni hao watoto kwa daktari mtaelekezwa cha kufanya.ni shida ndogo tu na ikitibiwa mtaisahau kabisa
usijali mi nina imani sana na JF tutapata majibu tu; wana JF sio wachoyo
 
kuna tiba/utatuzi naufahamu, ni-pm, haitakugharim hata senti, kisha utarudi kushuhudia hapa jf.
 
Nimewah kuckia waswahili wakitibia wato2 wa hivyo hiviiii; wanafunga sarafu ya sh 20 au 10 na plasta kitovuni kwa cku 7 hadi 14 kutegemea na uzito wa tatizo.nimeshashuhudia mtoto akipona huku uswahilini.
 
Heshima mbele wana JF
Mwanangu wa kike mwenye miezi 10; kitovu chake sikiielewi
akiwa na njaa kinakuwa cha kawaida ila akishiba kinakuwa kikubwa.
nashindwa kujua kitovu chake ni kikubwa au ni kidogo?
kama ni kikubwa kuna lolote naweza fanya ili kiwe cha kawaida?
Nawasilisha

Pole Kichwa ngumu...kama walivyotangulia kusema wenzangu, hiyo ni 'umbilical hernia'...hutokea pale ukuta wa tumbo sehemu ya kitovu haufungi kwa ndani wakati akiwa tumboni kwa mama bado. Basi ikiongezeka pressure kenye tumbo la mtoto (akishiba, au akilia) unaona kunavimba. Ni utumbo unakuwa forced through hiyo defect kwenye abdominal wall.

Inaweza ikahitaji tiba au isihitaji...the big problem is 'cosmetic', na mtoto wako ni wa kike hivyo inaweza kumeletea taabu sana wakati wa ujana akashindwa kuvaa vitopu au beach wear kama wenzake, akakosa confidence mbele ya boyfriends especially akishaanza zile raha za mwili, woga wa kukimbiwa and so on.. (inaweza ikawa na psychological effect sana kwake baadae)!

Ushauri: Kama ni kubwa sana (size ya ndimu au zaidi), basi fanaya uwezekano wa mtoto afanyiwe upasuaji. Sio lazima sasa katika umri mdogo huo, kwani si emergency (unless its is obstructed). Namfahamu Dr Ngiloi wa Muhimbili au Tumaini hospital ni mzuri sana wa hizi operation. pia Dr Sayi wa Muhimbili na Aga Khan.
 
thanx sana dr riwa maelezo yako yanamake sense,ubarikiwe.my niece ana tatizo hilo pia na inamkosesha raha sana mama yake,at least tumepata idea pa kuanzia..
 
Pole Kichwa ngumu...kama walivyotangulia kusema wenzangu, hiyo ni 'umbilical hernia'...hutokea pale ukuta wa tumbo sehemu ya kitovu haufungi kwa ndani wakati akiwa tumboni kwa mama bado. Basi ikiongezeka pressure kenye tumbo la mtoto (akishiba, au akilia) unaona kunavimba. Ni utumbo unakuwa forced through hiyo defect kwenye abdominal wall.

Inaweza ikahitaji tiba au isihitaji...the big problem is 'cosmetic', na mtoto wako ni wa kike hivyo inaweza kumeletea taabu sana wakati wa ujana akashindwa kuvaa vitopu au beach wear kama wenzake, akakosa confidence mbele ya boyfriends especially akishaanza zile raha za mwili, woga wa kukimbiwa and so on.. (inaweza ikawa na psychological effect sana kwake baadae)!

Ushauri: Kama ni kubwa sana (size ya ndimu au zaidi), basi fanaya uwezekano wa mtoto afanyiwe upasuaji. Sio lazima sasa katika umri mdogo huo, kwani si emergency (unless its is obstructed). Namfahamu Dr Ngiloi wa Muhimbili au Tumaini hospital ni mzuri sana wa hizi operation. pia Dr Sayi wa Muhimbili na Aga Khan.
thnx ma brother
 
Unaweza kwenda kwa dokta KOJA-Doctor wa watoto pale mwananyamala(maarufu sana) atakusaidia pia kuna daktari mwingine wa watoto anaitwa dk.kuboja maeneo ya Moroco anasaidia sana watu tena bei zao ni nzuri kabisa.Hilo la coin ya shilingi 20 nalo pia linatumika sana uswahilini na linasaidia.
Anza na hiyo ya kiswahili ambayo haina cost zozote then baada ya wiki mbili mpeleke kwa tiba zaidi hospitali.
 
Dr Kubhoja ni Paediatrician, hafanyi upasuaji....tatizo hilo linahitaji Paediatric Surgeon, wapo kina Dr Ngiloi, Sayi, and Prof Carneiro Muhimbili na pia wanafanya private prectice sehemu mbali mbali.
 
Pole Kichwa ngumu...kama walivyotangulia kusema wenzangu, hiyo ni 'umbilical hernia'...hutokea pale ukuta wa tumbo sehemu ya kitovu haufungi kwa ndani wakati akiwa tumboni kwa mama bado. Basi ikiongezeka pressure kenye tumbo la mtoto (akishiba, au akilia) unaona kunavimba. Ni utumbo unakuwa forced through hiyo defect kwenye abdominal wall.

Inaweza ikahitaji tiba au isihitaji...the big problem is 'cosmetic', na mtoto wako ni wa kike hivyo inaweza kumeletea taabu sana wakati wa ujana akashindwa kuvaa vitopu au beach wear kama wenzake, akakosa confidence mbele ya boyfriends especially akishaanza zile raha za mwili, woga wa kukimbiwa and so on.. (inaweza ikawa na psychological effect sana kwake baadae)!

Ushauri: Kama ni kubwa sana (size ya ndimu au zaidi), basi fanaya uwezekano wa mtoto afanyiwe upasuaji. Sio lazima sasa katika umri mdogo huo, kwani si emergency (unless its is obstructed). Namfahamu Dr Ngiloi wa Muhimbili au Tumaini hospital ni mzuri sana wa hizi operation. pia Dr Sayi wa Muhimbili na Aga Khan.

Habari za leo Riwa,

Akifanyiwa upasuaji kitovu kinaondolewa kabisa!. Kuna mtoto amefanyiwa upasuaji pale TMJ kitovu kimetolewa kabisa. Ni sahihi.
 
Back
Top Bottom