Kitoto cha 2007 kimenitumia kimemo nikivishe pete!

Kitoto cha 2007 kimenitumia kimemo nikivishe pete!

Dunia hii inaenda wapi?

Leo katika harakati zangu za kujitafuta nikaenda mahali fulani. Mara nikakutana na katoto kadogo kanasoma darasa la sita, kakaniambia " Uncle samahani, dada amesema nikupe hiki kikaratasi".

Ile kufungua nikapigwa na butwaa baada ya kukutana na maneno haya" Kaka X nakupenda sana naomba univalishe pete nzuri niridhike". Mamaaa nikaona jela hii hapa, kabinti kanasoma form 4 shule moja hivi hapa Dar.

Aisee nimemuangalia mdogo mtu nikasepa zangu, ile narudi kupitia njia ile ile, kakaja tena. Dada anaulizia jibu lake. Nikamjibu "kamwambie ayapende masomo yake".

Wazazi muwalinde watoto wenu.
Kama ni kweli basi inaonyesha ulishaongea naye na hata kufanya ngono.
 
Eti anko Samahani dada amesema nikupe hiki kikaratasi .. Faken
Beberu mwitu wewe ni beberu broiler tu 🤣🤣🤣, Umetuonaje?

AnyWay NO REFORM NO ELECTION
 
Eti anko Samahani dada amesema nikupe hiki kikaratasi .. Faken
Beberu mwitu wewe ni beberu broiler tu 🤣🤣🤣, Umetuonaje?

AnyWay NO REFORM NO ELECTION
Acha kuwa tomaso
 
Hiyo ni chai tena chai isiyo na sukari kule Mbeya tunaiita " MWANKALIKA"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom