Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

Huyo dawa yake ni kumuwekea mtego ukimkamata unamlisha cement belesh moja akafie mbele.
 
loh, sasa na wewe ndugu yangu nanunua vifaranga kwa mtu mbona makampuni yako mengi sana wanauza vifaranga, unaagiza unaletewa popote ulipo, au alikuambia anakuuzia sh50?

condom sh.50
tunanunua kwenye.kampuni???
 
labda kwa maombi mkuu
we pdidy na wewe umezidi vituko, tunazungumzia vifaranga vya kuku unawaza uzinzi, btw,alikuwa anahitaji vifaranga vitatu kama pakti ya condom?
 

Jamaa amekuharibia jina
 
we pdidy na wewe umezidi vituko, tunazungumzia vifaranga vya kuku unawaza uzinzi, btw,alikuwa anahitaji vifaranga vitatu kama pakti ya condom?

hahaaa mkuu nimegusa mamboyetu

taja sh 49

50 hata mamboyetu siendi kiwandani
 
huyo dawa yake ni kumuwekea mtego ukimkamata unamlisha cement belesh moja akafie mbele.
UNAJUA TUMBONI KUNA MICHANGA IKIZIDI INAITWA APPENDEX

SO CEMENT.NA MCHANGA WEEE



akigeuka tofali si atakuuwwa
 
Pole mkuu,
Ila haya mambo ya ni PM ndio matokeo yake.
We tafuta Picha yake iweke humu live.Ili tumjue,maana kuna watu watakupeleka hadi kwao.
Yaani hata matumzi ya Sima watu mnajua kwenye facebook tu,mie mtu nikihisi tapeli kwanza nategensha sim namrekodi kila kitu.na kwa bahati kuna devices kama Peni tu kuna jamaa nilimuaiza china,basi maelezo yote na kila kitu narekodi tena kwa Video Cam,iliyopo kwenye pen yenye USB devise.
Mie ukinidhulumu hata 100 aisee nakuuwa tu
 
Sijui niseme. Jirani zangu ni kitomari mkubwa na mdogo.

Walifuatwa hapo kwao na mitutu kuwa wamezulumu. Wakakimbia nyumba zao wakaenda kujichanganya nagorofani kkoo. Hata hivyo wale watu walirudi na kuwazuru vibaya sana wanachuo waliiwapangishia ile nyumba.

Hii yote inaniaminisha kuwa hao akina kitomari siyo wazuri.

Pole uliyelizwa.
 

Hy Peni Yenye Uwezo Wa Kurekodi Wapi Inakopatikana Na Kwa Bei Gani? Tujulishe Mimi Naihitaji,
 
Hahaaa, ungekuwa jirani ningekuja kukuliza laki tu nione!
 
Kiukweli Kitomari2 kachafua hali ya hewa humu jf, kwa style hii tutashindwa kusaidiana hata kwenye masuala nyeti kama afya n.k ambapo ili uhudumiwe lazma utume hela kwanza.
Hivyo nawaomba tuendelee kusaidiana kama kawaida.

Unaweza kuta ni wewe umekuja na ID nyingine....(Joke)
 
Last edited by a moderator:

Pole ndugu. Ila edit hilo jina ili tag imguse mtu sahihi. Kuna mtu analalamika umekosea ku tag jina...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…