Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu Kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
 
Last edited by a moderator:
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi

Pole sana,

Kuna uzi mwingine ktk jukwaa letu hili uliojaa habari za huyu Kitomar2 na tabia yake ya kutoaminika. ushahidi wa wengi ni kwamba jamaa ni ta-pe-li.
 
Invisible Hii ni mara ya tatu Huyu mtu anatapeli watu, Kuna namna ya kumdhibiti
 
Last edited by a moderator:
laki unusu hiyo ni hela ya bia usiku mmoja,tena baa za kiswaz.inakuwaje jamaa amekulia timing na kukuweka king hela km hiyo!
huyo tapeli njaa tu
 
Invisible Hii ni mara ya tatu Huyu mtu anatapeli watu, Kuna namna ya kumdhibiti

mmh!.,mkuu,kukiukwa kwa makubaliano ya aina yoyote waliyokubaliana wanachama wa jf "nje" ya jf hayamfanyi Invisible or jf officials wawe answerable kutoa maelezo whatsoever. tena usishangae huyo mleta mada akalimwa BAN kwa kum-name calling anaye mtuhumu.nimeongea ki-layman,tusubiri magwiji wa sheria waje.
 
Last edited by a moderator:
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
katafute bunduki tuu kwa tapeli kifo ndio dawa yake..
 
Mtu tena amelizwa na huyu jamaa??Kuna uzi uliletwa humu, jamaa anamuwinda huyo Kitomar2
 
Last edited by a moderator:
pole ndugu.....matapeli ni wengi sana JF.......sio huyo tu.....kuwa makini.........

Mwenzio katutajia Kitomar2, na wewe ungetutajia unaowafahamu ingesaidia jamii ya jf.
 
Msafara wa mamba na kenge wamo.

Ulimpaje pesa? Kama ulituma kwa Tigo pesa, M-Pesa jina lilikuja , weka jina hala na hiyo namba wana Intelijensia wakusaidie.
 
Msafara wa mamba na kenge wamo.

Ulimpaje pesa? Kama ulituma kwa Tigo pesa, M-Pesa jina lilikuja , weka jina hala na hiyo namba wana Intelijensia wakusaidie.

Umeongea sahihi kabisa mkuu,nadhani mbali ya kumuanika na kumlalamiki huyu tapeli hapa,inatakiwa wamchukulie hatua stahiki za kisheria ili liwe fundisho kwa matapeli wa namna hii wote wanaotuharibia humu Jamiiforums!kama hela alitumiwa kwa huduma za Mpesa,tigopesa au airtel money,ni rahisi sana kumtia huyu mtu nguvuni na kumfikisha kunakohusika!
 
Back
Top Bottom