Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Nov 14, 2013 #21 kama nilivosema hapo juu battery test ya nexus 5 imetoka, ni mbaya kusema kweli na nafkiri ndio ya mwisho kwenye simu zenye snapdragon 800 yani na kama ni mpenda browsing ndo haifai kabisa ni masaa 4 na dk 46 inaisha na hapo ipo mpya ukieka apps nyingi itakaa pengine masaa 2
kama nilivosema hapo juu battery test ya nexus 5 imetoka, ni mbaya kusema kweli na nafkiri ndio ya mwisho kwenye simu zenye snapdragon 800 yani na kama ni mpenda browsing ndo haifai kabisa ni masaa 4 na dk 46 inaisha na hapo ipo mpya ukieka apps nyingi itakaa pengine masaa 2