ila wamechemka tena battery hata nusu siku haitafikisha hio simu kwa poweruser.
Kaka hebu nifafanulie hyo wireles charger ikoje
ila wamechemka tena battery hata nusu siku haitafikisha hio simu kwa poweruser.
Ebu funguka in a layman language why do u think wamachemka
kaka kwenye simu sana vitu viwili ndio humaliza chaji.
1. processor
2. kioo
hii simu ya nexus 5 ni moja kati ya simu zenye processor yenye speed kubwa na nguvu kuliko simu zote za android. processor inavyozidi kuwa na nguvu ndio inavyozidi kula charge. snapdragon 800 yenye speed ya 2.3ghz ndio processor yake.
nexus 5 kioo chake ni full hd yani 1080p. kioo kimejengwa na vipande vidogo dogo vinaitwa pixel. ukisema kioo ni full hd kwa simu ina maana kuna vipande 1900 kwa urefu na vipande 1080 kwa upana. hii inamaanisha na kioo chake ni kikubwa sana hivyo pia kitakula power nyingi.
sababu hizi mbili zinaifanya betry hio iwe ndogo. hebu tuangalie competition zinazotumia processor na kioo sawa battery zao zipoje
1. sony experia z1 ina 3000mah
2.galaxy note 3 ina 3200mah
3. sony xperia z ultra ina 3050mah
4.nokia lumia 1520 ina 3400mah
5.lg g2 ina 3000mah
hapo nafkiri utakua umeona nini nimemaanisha, japo hizo simu zina mabetry makubwa watu wanalalamika kwa nexus je
Nimekuelewa vizuri mkuu...ila mi naona charge ni tatizo la smartphone zote.
Kwa maoni yako ni smartphone hipi inaridhisha katika kutunza power
Hapo mkuu unapoongelea ukubwa wa kioo, nafikiri siyo lazima kioo kiwe kikubwa sana ili kiweze kubeba 1080p. Mfano HTC One ni Full HD 1080p na ni ndogo kuliko hiyo Nexus. Engineering advancement + Nano technology zinawezesha kuzipack pixels nyingi katika eneo dogo sana.kaka kwenye simu sana vitu viwili ndio humaliza chaji.
1. processor
2. kioo
hii simu ya nexus 5 ni moja kati ya simu zenye processor yenye speed kubwa na nguvu kuliko simu zote za android. processor inavyozidi kuwa na nguvu ndio inavyozidi kula charge. snapdragon 800 yenye speed ya 2.3ghz ndio processor yake.
nexus 5 kioo chake ni full hd yani 1080p. kioo kimejengwa na vipande vidogo dogo vinaitwa pixel. ukisema kioo ni full hd kwa simu ina maana kuna vipande 1900 kwa urefu na vipande 1080 kwa upana . hii inamaanisha na kioo chake ni kikubwa sana hivyo pia kitakula power nyingi.
sababu hizi mbili zinaifanya betry hio iwe ndogo. hebu tuangalie competition zinazotumia processor na kioo sawa battery zao zipoje
1. sony experia z1 ina 3000mah
2.galaxy note 3 ina 3200mah
3. sony xperia z ultra ina 3050mah
4.nokia lumia 1520 ina 3400mah
5.lg g2 ina 3000mah
hapo nafkiri utakua umeona nini nimemaanisha, japo hizo simu zina mabetry makubwa watu wanalalamika kwa nexus je
Hapo nafikiri inategemea na matumizi yako, Kuna watu hata ungewapatia battery kama ya gari (joke) bado itaisha kwa siku moja. Natumia HTC One nachaji usiku na inanisukuma siku nzima.i yangu siyo madogo vile.Nimekuelewa vizuri mkuu...ila mi naona charge ni tatizo la smartphone zote.
Kwa maoni yako ni smartphone hipi inaridhisha katika kutunza power
lenovo p780
Hapo mkuu unapoongelea ukubwa wa kioo, nafikiri siyo lazima kioo kiwe kikubwa sana ili kiweze kubeba 1080p. Mfano HTC One ni Full HD 1080p na ni ndogo kuliko hiyo Nexus. Engineering advancement + Nano technology zinawezesha kuzipack pixels nyingi katika eneo dogo sana.
Mbona simu mpya zinatunza charge vizuri zaidi ya zile za zamani wakati simu mpya nyingi ni full HD? Na sababu kubwa ni kwamba OLED screen doesn't require any light to produce black, which considered battery-saving (since it requires no energy to create black). more infos go to "ABCs of smartphone screens: 1080p and more (Smartphones Unlocked) | Dialed In - CNET Blogs"kaka hata kiwe ni 1inch kama ni full hd bas itakula chaji na hata kikiwa inch 24 kama ni vga haitakula charge, uwingi wa pixel ndo unaomata na sio ukubwa wa size
Mbona simu mpya zinatunza charge vizuri zaidi ya zile za zamani wakati simu mpya nyingi ni full HD? Na sababu kubwa ni kwamba OLED screen doesn't require any light to produce black, which considered battery-saving (since it requires no energy to create black). more infos go to "ABCs of smartphone screens: 1080p and more (Smartphones Unlocked) | Dialed In - CNET Blogs"
kaka kwenye simu sana vitu viwili ndio humaliza chaji.
1. processor
2. kioo
hii simu ya nexus 5 ni moja kati ya simu zenye processor yenye speed kubwa na nguvu kuliko simu zote za android. processor inavyozidi kuwa na nguvu ndio inavyozidi kula charge. snapdragon 800 yenye speed ya 2.3ghz ndio processor yake.
nexus 5 kioo chake ni full hd yani 1080p. kioo kimejengwa na vipande vidogo dogo vinaitwa pixel. ukisema kioo ni full hd kwa simu ina maana kuna vipande 1900 kwa urefu na vipande 1080 kwa upana. hii inamaanisha na kioo chake ni kikubwa sana hivyo pia kitakula power nyingi.
sababu hizi mbili zinaifanya betry hio iwe ndogo. hebu tuangalie competition zinazotumia processor na kioo sawa battery zao zipoje
1. sony experia z1 ina 3000mah
2.galaxy note 3 ina 3200mah
3. sony xperia z ultra ina 3050mah
4.nokia lumia 1520 ina 3400mah
5.lg g2 ina 3000mah
hapo nafkiri utakua umeona nini nimemaanisha, japo hizo simu zina mabetry makubwa watu wanalalamika kwa nexus je
Nafikiri hatujaelewa, sikufananisha HTC Vs Nexus, nilichoongelea ni uhusiano wa HD na ukubwa wa kioo. Halafu pia nikaongelea technology zinazozifanya full hd kutumia power kidogo kuliko screen za kitambo.usichange mada hamna aliesema screen tech we umesema kuwa sababu htc kioo chake ni full hd kwa umbo dogo (inch 4.7) basi itatunza charge kuliko nexus ambayo ni 5inch. otherwise tulikua hatujaelewana.
na htc one haina oled ni lcd ile Hivyo kula chaji kama kawa.
kaka hata kiwe ni 1inch kama ni full hd bas itakula chaji na hata kikiwa inch 24 kama ni vga haitakula charge, uwingi wa pixel ndo unaomata na sio ukubwa wa size