Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
- Thread starter
- #21
my dear masikio yameziba kwa ajili ya madebe jana........nilitwanga mpaka nikachemsha..........
Heri ya mwaka mpya
my dear masikio yameziba kwa ajili ya madebe jana........nilitwanga mpaka nikachemsha..........
Bado kuna masazo, karibudaaah
nimeimiss
Heri ya mwaka mpya
Kweli kabisa nahitaji kusamehewa. Maana nisiposamehewa wachagga watanimaliza na bastola zao. Maana siku hizi ndio wamegundua kuwa Tukuyu ni tamu kuliko pesa