Kitimoto mwenye mapembe

Kitimoto mwenye mapembe

Utakuwa unatafakari kama ufunguke au usifunguke.

Hebu fungua hii page ya mkuu Lukosi

8f00155160b4b5c890139f6e4c8787d1.jpg
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nayo haifunguki
 
Wewe malaika wa kufunga hii mitandao umechelewa wapi? Mijitu inanitukana. Njoo fasta
 
6ef34be96e8a8dbb194caa516c797e2a.jpg


Basi nilipokuwa najiandaa kuandika hii mada nikamkumbuka nyoka mwenye makengeza. Nikashangaa kweli nikamkumbuka kitimoto mwenye
Mapembe
Chongo
Mikia miwili
Mguu mmoja

Kwa hakika huyu ni kitimoto wa aina yake ni tofauti kabisa na wengine na pengine analijua hili au halijui lakini kwa sifa hizi anabaki kuwa wa kipekee huku wenzake ama wakisita au kumgwaya kumwambia! Kumbeza?! Nani atathubutu! Wewe huna mapembe yeye anayo wewe una miguu minne yeye ana mmoja ole wako.

Kitimoto mwenye mapembe ni kiwakilishi cha Sanaa yenye uhalisia katika maisha yetu ya kila siku kuanzia majumbani mwetu makazini mpaka kwenye majukumu mazito yahusuyo mustakabali wa Taifa. Kote huko chochote chenye kutia shaka kubwa kisicho cha kawaida kabisa chenye kuacha maswali mengi yasiyo na majibu. Hicho hakina tofauti na kitimoto mwenye mapembe na mguu mmoja.

Ukiwaza ya nyoka mwenye makengeza(fasihi kubwa hii)na sanaa ya Mr Ebbo RIP ya samaki aliyepaka wanja unaona wazi kabisa ni kama maono ya kushangaza ambayo wengi hawakujanasibu nayo. Kila nikigeuka kila nikikata kona kila nikichungulia namuona kitimoto mwenye mapembe halafu anatisha kweli...!

Naamini hii si ndoto na siko pekeyangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naamini hii sio ndoto na siko pekeyangu[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji102]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom