Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

kwani hawa watu hawakuiba hela yetu mbona tunakuwa wanafiki hivyo acha na wao waonje joto ya jiwe
Kama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
 
Kama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
haa haa mkuu sheria hizi za kidhalim nikuambie tu kushinda kesi mahakamani aimaanishi eti wew huna hatia .zombe alishinda kesi je kwa akili yako hakushiriki kufanya mauaji ya wale wanasheria, huo ukoo wa sinare sio salama kwa afya ya nchi yetu angalia dowans rex attoney walishiriki kwa asilimia 100 kuhakikisha hela ya akina edo na rostam inapatikana
 

Mkuu mimi sio mpiga ramli. Hizo sheria unazoziita za kidhalim ndio zilizotumika kuwaweka jela kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa. Sijasema kwamba wameiba au la, ila ni lazima tuwe na nchi inayoongozwa na utawala wa sheria. Kila mtu ana haki ya kuhesabiwa kutokuwa na hatia mpaka itakapothibitishwa kuwa na hatia. Kuweka watu jela kwa muda mrefu kwa tuhuma zisizoweza kuthibitishwa ni kujenga mazingira ya uonevu.

Any country or Government which wants to proceed towards tyranny starts to undermine legal rights and rule of law.
 
Pamoja na msapotu magu na nia yake ya kunyoosha nchi lakin sio kwenye uonevu kaa huu wa kikanda. Huu ni ungese!
 
NDio afrika mkuu
 
Kama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
Wameiba bhana, na ndo walizokuwa wanampa yulee bwana agawe makanisani
 
Na wezi wakubwa wakubwa ni wajanja sana kwenye kukwepa commitment ili wasishikwe. Rostam aliandikisha majina ya mafala flani, ila pesa anavuta yeye
 
Kama mwizi namba moja halafu hakuna kuwajibika unafikiri itakuwaje?
 
Manji kaingia kawakuta, katoka kawaacha... Ni namna tu ya kucheza na ngeli za kiarifa
 
Papuchi za miss TZ hazijawahi acha mtu salama, mwingine yuko Nairobi na mwingine yuko anapigania ubunge wake,
 

Sasa na wewe unaongea nini ? Huna kituo wala koma .Hueleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…