Kitillya na wenzake wataka upelelezi uharakishwe

Kitillya na wenzake wataka upelelezi uharakishwe

Anaye chukia tajiri atakuwa kichaa, kama yupo. Tuseme kuna mtu anamchukia mtu kama Carlos au Bill Gates na watu kama hao? Siamini hivyo.

Suala ni kuwa watu wanaunganisha utajiri wa watu kama hawa na ufisadi, serikalini au kwenye taasisi zake. Kwamba jamaa waliiba ndio maana wamekuwa matajiri. Kwamba jamaa walitumia nafasi zao au za washirika wao kuiba na kuwa matajiri.

Watu wana wahusisha wengi wa matajiri wa kibongo na uwizi.

Na hata wakishinda kesi haimaanishi kuwa kulikuwa hakuna uwizi au makosa mengine waliyofanya. Hebu angalia uwezo wa waendesha kesi wetu na rushwa ilivyo tawala

Umenena vyema sana Mkuu.

-Kaveli-
 
Intentions to prosecute, strong cases may be left, dealing with weak ones. Depends on the motive behind.
 
Mkuu
Kuna mtu mmoja alikuwa anafanya kaz TRA .kwa muda wa miaka mi 3 sasa yuko ndani na bado hajashitakiwa na dhamana kanyimwa..sababu ni hii hii kukosa ushaidi wa kutosha..rafiki zake wengne naskia walikaa ndani miaka saba bila mashtaka kila wiki walikuwa wanafikishwa mahakamani kusomewa mashtaka na kurudishwa rumande..
Sheria zetu ni mbovu sana...dpp kapewa mamlaka makubwa sana na utawala wa nchi hii
Mkuu ni shida.... kuna kina dada nawajua wako ndani miaka 4 kwa kosa la madawa.... kilio hapa sio kuwatetea ila wasikae ndani bila kuhukumia kama wana makosa, maana kwa kuruhusu
utaratibu huu, watu wanawesa onewa tu na
ukibambikwa utakasishaji wa pesa kama ilivo kwa watu wa tra na mabank, basi umeumia.... itungwe sheria kwamba upelelezi kama haujakamilika kwa miezi 6 basi mahabusu apewe dhamana mpaka
watakapo kamilisha upelelezi
kupunguza kifungo kischo RASMI cha dpp na uonevu.....
 
That is too much bro
sheria inabidi irekebishwe haraka sana...dpp asipewe nguvu ya kumshtaki mtu kama hana ushahidi wa kutosha...
 
Hujitambui.... kwa nini wasifanye upelelezi na wakiisha maliza ndo wawapeleke watu mahakamani badala ya kwenda warundika watu mahabusu kabla ya upelelezi kuisha kwa makosa yasiyo kuwa na dhamana? Miezi 6 mkuu.....kuna
watu walio Mahabusu kwa makosa ya madawa miaka 4..... upelelezi unaendelea... si hata hayo madawa yameisha expire.... acha ushabiki, haya ni maisha tu... kama si wewe kuna siku itamkuta
ndugu au jamaa yako na ndo utatambua hili...
miaka 4 mpaka 5 upelelezi unaendelea? .... hakimu akifuta kesi wakitoka nje wanakamatwa tena....
Duuh pole sana unaongea kwahisia na wewe ulishiriki nini? Hivi hua mnakua wapi kutetea mwananchi wa kawaida akikosa haki zake leo hii muwe wa kwanza kutetea hiyo mijizi ya fedha za umma? Na kesi ngapi enzi na enzi watu wananyimwa dhamana kimya? Kwa sbabu mtoto wa Lowasa?
 
Hivo na mimi niko gerezani? We vipi? Hii ni kwa wote.... endelea kusoma uzi huu utakuta posts zangu nyingi humu ndani nalalamikia suala la DPP kuwafunga watu na sio mahakama.... hata kama hawa wameiba, suala la kuwekwa ndani miezi sita linakiuka haki za binadamu maana mwenye kujua wameiba ni wao wenyewe na
mahakama, wewe unahukumu tu bila kuwa na hata fact moja......
 
Wakati wao wanatuibia walituonea huruma? Mtumishi wa serikali hawezi kuwa na uwezo wa kumiliki VOGUE lakini hao unaowatetea wanayo magari ya aina hiyo kama takataka,kwa nini tusiwachukie?
Kitilya alikuwa kwenye ngazi zile za 'malaika' take home milioni 40, hapo bado marupurupu, anashindwaje kununua Vogue mpaka kufikia umri wa kustaafu? Tuwe fair.
 
Kitilya alikuwa kwenye ngazi zile za 'malaika' take home milioni 40, hapo bado marupurupu, anashindwaje kununua Vogue mpaka kufikia umri wa kustaafu? Tuwe fair.
Take home milioni 40 bado tu anaiba....huyu inatakiwa afungwe maisha asitoke kabisa aozee huko huko jela
 
Hivi kwa nini wabongo wana roho mbaya sana kwa matajiri? Naona wengi mnafurahia kwamba vigogo wapo ndani bila kujali kama wana hatia au la.
Dah....kuna tofauti kubwa kati ya Tajiri na jizi[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom