Unanieleza habari za sheria za Tanzania wakati hoja yangu ni kwamba hapa Tanzania sheria zetu za dhamana ni za ki-Kangaroo.
Nilifikiri ungenieleza duniani kwingine nako watuhumiwa kama hawa wa TRA, wa kutakatisha fedha, hawapati dhamana automatically.
Katika nchi nyingine hunyimwi dhamana automatically kwa kutakatisha fedha, biashara ya nyara, kuuza watu (human trafficking), kuhujumu uchumi, kuuza madawa, kama hakuna violence iliyoambatana na jinai.
Kuna sababu mbili za msingi za kunyima mtu dhamana katika nchi zilizopevuka kwa haki za raia:
1. Seriously violent crimes, kama kuua, armed robbery, n.k. yananyima dhamana virtually automatically.
2. Flight Risk: Kama ni mgeni, kwa mfano, unaeweza kukimbilia kwenu, au umekuwa mtu unaeshindwa kutokea mahakamani siku za nyuma...
3. Kama akipewa dhamana atakuaw tishio kwa jamii.
Hapa eti unanyimwa dhamana kwa sababu utaharibu uchunguzi. Patently Kangaroo judiciaries.
Kwanza kabisa, nimegundua akili zako ni mgando, or you are just an intellectually lazy!
Hivi nilichokiandika mimi, kina tofauti gani na hicho ulichoeleza wewe? hebu tuliza akili vzuri soma tena nilichoandika na uangalie ulivyojibu, sijaona unachopinga! hehehee
Kwenye hiyo no. 1 yako, umerudia kile kile nilichoandika Mimi.
Kwenye hiyo no. 2 yako, umerudia kile kile nilichoandika. Unajua maana ya "to jump bail"? kama hujuwi, iulize Google upanue akili yako.
Kwenye hiyo no. 3 yako kwamba: "Kama akipewa dhamana atakuwa tishio kwa jamii"... yes you are right, hii pia ni another factor for the Court to deny bail. Ila sasa cha ajabu, hii no.3 yako umeipinga tena wewe mwenyewe kwenye hiyo paragraph ya mwisho ulivyohitimisha.
Hebu angalia scenario hii:
Mtuhumiwa kapata dhamana, kisha kaanza kuua mashahidi 'muhimu' kwenye kesi. (nadhani ushawahi kusikia incidents kama hizo, kwamba mashahidi kupata vitisho, au kuuawa, au kupotea kusikojulikana).
Katika mazingira hayo, hapo mtuhumiwa anakuwa:
i) Ni tishio kwa jamii coz anaua mashahidi;
ii) Ameingilia na kuharibu uchunguzi coz wale mashahidi ambao ni muhimu sana anawaua au kuwapa vitisho.
Narudia kusema kwamba, sijaona unachopinga. Ila unajionesha tu jinsi ulivyo mvivu wa kufikiri na kujikanganya mwenyewe.
-Kaveli-