Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Waziri Kitila Mkumbo Septemba 29, 2015 aliwahi kuandika "Nchi zote zenye akili hupima uwezo wa kifikra wa wagombea urais kupitia midahalo. Hapa kwetu wanakwepa. Ujanjajanja na ulaghai. Tukatae"
Ukisoma kwa umakini hii tweet yake utaelewa kuwa wagombea Urais wengi hawataki mambo ya Presidential Candidates. Ila kusema kweli awamu hii ingefanyika midahalo kwa wagombea Urais ingegeuka Comedy maana hata kampeni zao tu hazieleweki.