Kitila Mkumbo kaa ‘Standby’

Riziwani Kikwete
 
Huna uono. Makamu atoke Singida na PM atoke Singida.
Hizo akili za wapi?
 
..haiwezekani Makamu na Waziri Mkuu wakatoka mkoa mmoja, jimbo moja.
Kama cabinet ina binti wa bibi Kizimkazi na ina mkwe wake pia, Abdul anaiwakilisha nchi kuonana na Museveni na huwa anakuwepo kwenye misafara ya huyo mvaa shanga sasa unadhani kuna kipi kisichowezekana. Embassies zimejaa Wagunya wa Kizenji utadhani population yao ni kubwa kuliko ya Tanganyika, yaani bi Maushuzi huyo anaweza hata kujaza familia moja kwenye hizo nafasi.
 
Singida itakuwa na bahati sana, 2 na 3 ?
 
Mbowe amesha nunua suti. Ni lazima mama aonekane amebalance na opposition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…