Kitila Mkumbo kaa ‘Standby’

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,251
Reaction score
5,107
Kuna very reliable trusted sources viungani ubalozi Sweden. Ni vijana wangu wana ni brief kila mara maswala sensitive ya taifa le kuwa Kitila Mkumbo akae standby.

Ikumbukwe Kitila ndo alikuwaga choice ya mama lakini Yuda akalazimishwa.

Bado nasubiri updates zingine kutoka kwa vijana wangu wengine Rama na Frenki, huko Dar na Dodoma.

Muwe wavumilivu tu nitazidi kuwa brief na kuwa update.
 

..haiwezekani Makamu na Waziri Mkuu wakatoka mkoa mmoja, jimbo moja.
 
Yaani huyu huyu kitila mchumia tumbo ?

Kaburi lake hili la kudai [kupigania katiba] tunalikumbusha , maana ndio kimemtoa makamu haramu au naye huyu atakubali watu wasipiganie katiba mpya alambe asali kama sasa?

Lakini tusisahau utawala huu wote ni haramu kuanzia Samuya hadi Nchimbi , mmoja haramu kajitoa chini ya mwaka hivyo wote wanatakiwa watoke uchaguzi huru uje na watu wachague viongozi halali wanaowataka.


View: https://x.com/kitilam/status/844235863836020736
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…