Kitila Mkumbo awashangaa Upinzani wanaotetea vihiyo

kwani jamani post za ukuu wa wilaya hazijatolewa tukapumzika kwenye mitandao kwakuwa kila mtu anataka aonekane,,
 
Nadhani huenda raisi Magufuli hajui waliotimuliwa UDOM walikuwa nanasomea digree ama diploma ya miaka mitatu. Bado anachanganya wale wa St. Joseph na wa UDOM. Anahoji f4 wamefikaje chuo kikuu na mkopo wakapata pasipo kujua wanasomea degree ama diploma kwani kama kati ya waliotimuliwa kuna wenye div 4, wapo wenye 1 na 2 na 3 pia ambao walipata hizo nafasi kihalali na hawakupaswa kufukuzwa kwa makosa ya wenzao waliopata div 4 ama walimu wao waliokataa kuwafundisha.

Yaani hii movie haina tofauti na ile mtu anapewa kibali cha kujenga mahali na serikali, anajenga, anaishi na mamlaka za serikali zinapeleka maji, umeme, vituo vya afya, halafu baadae serikali hiyo hiyo inakubomolea na kukufukuza!
asante mkuuu kwa kuweka mambo sawa,kuna watu wanapenda kupotosha sanaa,sitaki kuamini kua hata mkumbo haelewi kua hoja za upinzani hazikua kutetea vilaza bali namna ya kuwaondoa hao vilaza.kwa serikali hii kwa jinsi wanavyo penda kukimbilia media bila hata kujipanga kwa hoja hawatafika mbali.
 
Hakuna aliyedhalilishwa. Shule zote siku zote zikifungwa huwa ni immediately kesho yake huwa hakuna huduma. Watoto na wazazi hawana tabu kupewa 24 hours hii ndiyo kawaida. Nani kalalamika kashindwa kuondoka? UKAWA as usual walitaka political capital out of other people's misery: mngewapa mwezi mmoja kurudi nyumbani ingesaidia nini zaidi ya kuleta wachochezi?
Ningependa unijuze kuhusu waliowadahili hawa wanafunzi na kuona wanafaa kuingia chuo then nitakuunga mkono kuwaponda ukawa
 
Hakuna aliyedhalilishwa. Shule zote siku zote zikifungwa huwa ni immediately kesho yake huwa hakuna huduma. Watoto na wazazi hawana tabu kupewa 24 hours hii ndiyo kawaida. Nani kalalamika kashindwa kuondoka? UKAWA as usual walitaka political capital out of other people's misery: mngewapa mwezi mmoja kurudi nyumbani ingesaidia nini zaidi ya kuleta wachochezi?
hivi nani anakulazimisha uandike, kwa hiyo shule zikifungwa wanafunzi wakichelewa kuondoka wanakuja ffu na mbwa kuwaswaga waondoke. Na tulisikia hata mjini walifuatwa kuhimizwa mabasi yanaondoka wanangoja nini!
 
Ishu sio kutetea vihiyo..walichokuwa wanadai ni utaratibu wa kuwaondoa chuoni ambao ulikuwa umewadhalilisha utu wao..Naona watu wamehamisha magoli kutafuta siasa za maji taka
sasa wangehamishwaje wakati walijua wanafukuzwa kwa kutokua na sifa. ulitaka wafanyiwe tafrija ya kuagwa.
 
jamani vihiyo ni neno gani hili, nipe ufafanuzi ili nami nitoe mchango wangu
 
Back
Top Bottom