Kiti kiko wapi...! Kigoda je..?

Kiti kiko wapi...! Kigoda je..?

Ndugu zangu japo wote hatumpendi Samuya ila puuzeni huo ni uzushi tu ilu badae aje kutuzodoa.
Yupo na juzi US embassy walipost picha yake baada ya mazungumzo
 
WAKATI WA KAMPENI "MAMA AMEWATUA NDOO" BAADA YA UCHAGUZI, "AMEWABEBESHA MADUMU WAKATAFUTE MAJI KWENYE CHEMCHEMI" -UVCMM 😄
 
Back
Top Bottom