Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,242
- 113,627
Hatu-ku-dahil. Lakini unafahamu nini Mdahalo. Ni neno lilotoholewa kutoka katika neno -dahil (la kiarabu) lenye maana ya (kwa undani) Sasa ukilitumia neno hilo,katika ,mantiki ya kuuliza linamaana kumhoji mtu ili kuupata undani wake kuhusu jambo fulani. Mdahalo siyo Debate Bakita walichemsha pale. Na mimi msinidahili yakhe kwani mimi siyo Mjuzi wa Kiswahili.Itabidi wadahaliane (msianze kunirushia madongo..hili neno nimelitunga mwenyewe nikimaanisha wa debate). Mdahalo ni noun, kwa kiingereza debate ni noun na verb. Sasa verb ya mdahalo kwa kiswahili ndo sijui...lol
Debate ni Mdahalo
Debating ni Malumbano
verb ya mdahalo ni kulumbana
Itabidi wadahaliane (msianze kunirushia madongo..hili neno nimelitunga mwenyewe nikimaanisha wa debate). Mdahalo ni noun, kwa kiingereza debate ni noun na verb. Sasa verb ya mdahalo kwa kiswahili ndo sijui...lol
Nyani, kwanza ukitupa maana ya neno ''verb'' ki-swahili nadhani itakuwa rahisi kwa sisi watu wa pwani (wenye asili ya kiswahili) kukufafanunulia utakalo kulijuwa.
Itabidi wadahaliane (msianze kunirushia madongo..hili neno nimelitunga mwenyewe nikimaanisha wa debate). Mdahalo ni noun, kwa kiingereza debate ni noun na verb. Sasa verb ya mdahalo kwa kiswahili ndo sijui...lol
Nyimbo za Injili na Mdahalo wapi na wapi! Au ndio umeleta mada "tudahaliane"?jamani Injili hakuna nyimbo mpya za Rose na Bahati Bukuku? Huu ni mwaka mwingine na nyimbo mpya jamani.
Yaani mpaka hivi sasa hakuna ambaye anajua kitenzi cha neno hilo?
Ttttttt