Kitengo cha usalama barabarani wakabidhiwe Jeshi la Magereza

Mkuu nafikiri ulitaka kufikisha ujumbe kuwa polisi wa usalama barabarani hawafai, ni wala rushwa, waonevu, wasingiziaji, wabambakiaji kesi n.k. ukiona unapigwa mkono na traffic, ujue anataka pesa. imekuwa ni kero kuliko faida. usalama wako sio kipaumbele chao-kipaumbele ni pesa.pesa pesa. Ukisafiri sehemu zozote hapa nchini mchezo wao ni huohuo. mfano tu-kwa DSM maeneo mengi wanafanya hivi, usiombe kufika maeneo ya posta barabara ya alykhan na morogoro siku za weekend -utajuta, utapigwa mkono na kuchomolewa vijisent vyako-hawana aibu--kila gari inayopita inawekwa pembeni kila gari. Ni kero, na hakuna wa kusaidia jambo hili. takukuru walishajifia nadhani. Muda mwingine utakuta wnajifanya kukuandikia faini-usumbufu kweli elfu 60, 30 ama zaidi kwa kesi za uongo tu halafu pesa hizo hazina mahali zinaenda isipokuwa mifukoni mwao.Tanzania bila rushwa....?
Mkuu hapo umenena kuwa sasa hivi askari wa usalama barabarani ni kitengo cha kuvuna pesa za haraka (trafiki anachukuwa gari lako binafsi kwenda kwenye check point akiwa na uhakika ya kuwa pesa ya mafuta itapatikana)
 
Kwanini tusimpe muwekezaji hiki kitengo mfano majembe, nadhani tutakuwa tumekata mzizi wa fitina maana madereva waliowengi wamepinda wamejenga urafiki na wanausalama barabarani.
 
ushauri mzuri, ila mgambo wa jiji wapo wangeweza fanya pia hili...
 
Magari yenu mabovu, hamfuati sheria za usalama barabarani bado mkikamatwa mnalalama mpaka mnapasuka misuli.Na mpigwe tu faini hizo.
 
Kwa sasa majukumu ya Polisi yamekuwa mengi sana, maana kuna wakati wanafanya kazi za watu wa maliasili, kazi za TRA pia kazi zao za kupambana na uhalifu. Mara wakimbize magunia ya mkaa, mara waulize risiti n.k

Kutokana na ugumu huo napendekeza kitengo hicho cha usalama barabarani kipelekwe jeshi la Magereza au JKT ili polisi wafanye kazi nyingine ambazo ni nyingi kwelikweli.

Pia kumekuwa na shutuma nyingi kwa jeshi la polisi hususani kitengo cha usalama barabarani, jeshi la Magereza na JKT halina shutuma kubwa katika uendeshaji wa mambo yao hivyo ni vema wakikabidhiwa majukumu haya au IUNDWE IDARA AU JESHI LA USALAMA BARABARANI AMBALO LITAKUWA LINAJITEGEMEA.

Ni mtazamo wangu tu wakuu, hata kama hakuna nchi inafanya hivyo si vibaya tukiwa wa kwanza.

Ningepewa nafasi ya Dr.Harson Mwakyembe ningemshauri rais tufanye yafuatayo:
-Kiundwe chombo kingine cha kusimamia na kutoza faini zote za magari na madereva barabarani kitakachosimamiwa na wizara ya miundo mbinu kama ilivyo SUMATRA.
HIKI CHOMBO kitakuwa kinawatumia tu polisi wakati wa oparation zake barabarani kama ilivyo Tanroad.

Hiki chombo kitasimamiwa na mkurugenzi ambaye atakuwa ni raia na sio askari kama ma RTO n.k.Huyu mkurugenzi atateuliwa na waziri wa miundombinu.

Hiki chombo kitaajiri watu wenye taaluma za uhasibu,usafirishaji na kozi nyingine toka NIT na Utawala toka vyuo mbalimbali nchini .Pia kitaajiri madereva toka veta na mafundi.
Tofauti na ilivyo sasa ambapo traffiki wengi wamepewa madaraka makubwa bila kuwa na taaluma zaidi taaluma ya upolisi wao.Mfano trafki anakutana na Professor yuko na my wife wangu hajafunga mkanda badala ya kumwambia kosa lake na kumwandikia faini anaanza kumwambia ''wewe baba huna akili unaendeshaje gari bila kufunga mkanda.Halafu unashindwa hata kutoa elfu mbili gari yako ikaoshwa,inaelekea wewe ni bahili sana''.
Ikumbukwe kuwa mtu yeyote mwenye elimu ndogo akipewa rungu anataka amwonyeshe yule aliyekuwa anamzidi darasani kuwa yeye ni zaidi na ana mamlaka.
Ndio maana unapowaona viongozi wao ambao ni wasomi siku wakiwa barabarani wananchi wanapumua pamoja na kuwa siku hiyo faini zitaandikwa nyingi bila malalamiko ya kuonewa.

Kwa kweli kwa sasa suala zima la usalama barabarani linapaswa kubadilishwa jina na kuitwa ''kero na usumbufu barabarani'' ,nadhani kuna watu watabisha lakini kama ukisafiri safari ndefu mfano kutoka DSM mpaka Mbeya utaona mtu anavyosimamishwa kila siku na kuulizwa kitu kile kile tena kwa kukaa zaidi ya dk 20.Trafiki anasimamisha gari tatu kwa wakati mmoja halafu anaendelea kuongea na simu na ole wako umwambie kwamba unachelewa utasimulia hadithi ya Kalumekenge.Lakini mwenye gari akitoka na msimbazi basi hata haambiwi kosa.
Mfano mwingine ni basi Kila siku zikitoka asubuhi saa 11 zinakaguliwa stendi tena kwa kutumia tochi lakini wanachoangalia sio ubora wa gari ni makusanyo ya kila basi linalotoka ili liruhusiwe bila longolongo.
Mfano tu basi likitoka Ubungo kilometa chache tu pale kibaha linakaguliwa kadi yake lakini sio kwa maana ya kadi bali kile kilichokunjwa kwenye kadi,yaani takrima.

-Pia ningeshauri kuwa kitengo cha ukaguzi wa magari kijitegemee na kiimarishwe chini ya wizara ya miundo mbinu,kwani kulingana na sheria waziri wa miundo mbinu
ndiye mwenye dhamana ya kutangaza wakaguzi wa magari jambo ambalo kwa sasa naona ni suala la viongozi wa polisi,sidhani hata kama kigezo cha elimu kinazingatiwa kwani wapo wengine tunaowafahamu ni darasa la saba lakini wanafanya kazi ya kuzuia magari na kuidhinisha ubora wa gari.Hapa kuna tatizo!!

FAIDA YA KUUNDA CHOMBO CHA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VYOMBO VYA USAFIRI:

-Kutoa ajira mpya kama ilivyo SUMATRA na TANROAD kwa vijana wengi wanaimaliza vyuo kwani tayari polisi wanaajira na mishahara yao.
-Kutumia mabilioni ya pesa zinazotokana na faini kwa ajili ya kuimarsha miundo mbinu kama vile kujenga marobot ya kuongozea magari,taa za barabarani za kisasa kwa kufanya tafiti za taa zenye uwezo wa kutumia sensor wakati wa kuongoza magari.
-Kutumia mabilioni ya pesa za faini kuweka kamera kwenye barabara kuu ili kutoa faini kwa haki.
-Kutumia mabilioni ya faini kufunga mitambo ya GPS kwenye malori na mabasi yote ili kudhibit mwendo kasi na kwa sababu ni suala litakalokua linasimamiwa na wasomi kama ilivyo tanroad basi ufanisi utakuwepo.

-Kupunguza tatizo la trafiki kufanya kazi kwa mashinikizo kutoka kwa wakubwa wao.Mfano OCD akimwambia trafiki aliyekamata gari kwamba aiachie basi inabidi afanye hivyo ili asitolewe utrafiki.Mwenye cheo ndio mwenye nguvu.

-Pia Itasaidia kuwaweka barabarani watu wenye taaluma na elimu ya kutosha jambo litakalosababisha wananchi wawaheshimu.

-Suala la ukaguzi wa magari litafanywa na mitambo maalumu na faini yake itaandikwa moja kwa moja kupitia mtandao kwa mmiliki wa gari.

Kupunguza bughudha ya kukamata mara kwa mara kwa watu wanaokwenda tu maofisini bila hata makosa yenye madhara.Mtu atakamatwa tu baada ya kuonekana kwenye kamera na taarifa zake kutolewa ili akamatwe na kuandikiwa faini.

-Kufanya matumizi mazuri na yenye tija kwa jamii yanayotokana na pesa za faini zinazokusanywa.Tofauti na ilivyo sasa ambapo pesa zinakusanywa na kutumiwa na wizara yenye wafanyakazi wanaolipwa na hazina hivyo kufanya hizo pesa kuwa ni posho ya chai na vitumbua na kuongezea sambusa juu kule wizarani.
-Polisi kuwa na nguvu ya kushirikiana na PCCB kuwadhibiti madereva wanaotoa rushwa ili wasiandikiwe faini.

Zipo faida nyingi sana sana za kuipunguzia polisi baadhi ya shughuli za usalama barabarani.

Pia Ikumbukwe kuwa watumiaji wa barabara sio wahalifu bali ni watu wenye haki ya kutumia barabara hizo kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizo wekwa. Watumiaji wengi wa barabara ni watu na heshima zao wanaokwenda kutekeleza majukumu ya kazi zao hivyo kuendelea kuachia tigo na traffiki kuwanyanyasa watu ni kuzidi kujijengea chuki kwa jamii.
Hivyo hiki chombo kitasaidi kazi za barabarani na askari wengi waende kwenye doria na malindo na kuwafanya askari kulinda watanzania.

Askari wa misafara na kuongoza magari watakuwa wanapangiwa zamu kama ilivyo kwenye shughuli nyingine za maandamano.
 
huyu naye.
 
Kwanini tusimpe muwekezaji hiki kitengo mfano majembe, nadhani tutakuwa tumekata mzizi wa fitina maana madereva waliowengi wamepinda wamejenga urafiki na wanausalama barabarani.

Majembe ni uozo mkubwa ule, uchafu kabisa tena takataka... Ni masumbufu kuliko Trafiki yale mashenzi.
 
Hakuna kitakachobadilika waache waendelee maana wameshakuwa na uzoefu wa kazi "working experience" nzuri
 
Amini usiamini, kitakachokuwa kimefanyika ni kuhamisha shutuma toka kundi moja kwenda kundi jingine, kwakuwa mfumo wa nchi yetu ni uleule wa mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, kamwe usitegemee jipya, kwani PCCB si ilikuwa PCB zamani? Je unaona kuna jipya hivi sasa?

umenena vema!
 
Kwa sasa majukumu ya Polisi yamekuwa mengi sana, maana kuna wakati wanafanya kazi za watu wa maliasili, kazi za TRA pia kazi zao za kupambana na uhalifu. Mara wakimbize magunia ya mkaa, mara waulize risiti n.k

Kutokana na ugumu huo napendekeza kitengo hicho cha usalama barabarani kipelekwe jeshi la Magereza au JKT ili polisi wafanye kazi nyingine ambazo ni nyingi kwelikweli.

Pia kumekuwa na shutuma nyingi kwa jeshi la polisi hususani kitengo cha usalama barabarani, jeshi la Magereza na JKT halina shutuma kubwa katika uendeshaji wa mambo yao hivyo ni vema wakikabidhiwa majukumu haya au IUNDWE IDARA AU JESHI LA USALAMA BARABARANI AMBALO LITAKUWA LINAJITEGEMEA.

Ni mtazamo wangu tu wakuu, hata kama hakuna nchi inafanya hivyo si vibaya tukiwa wa kwanza.
Akili yako inakutosha mwenyewe tu mkuu.
 
Ningepewa nafasi ya Dr.Harson Mwakyembe ningemshauri rais tufanye yafuatayo:
-Kiundwe chombo kingine cha kusimamia na kutoza faini zote za magari na madereva barabarani kitakachosimamiwa na wizara ya miundo mbinu kama ilivyo SUMATRA.
HIKI CHOMBO kitakuwa kinawatumia tu polisi wakati wa oparation zake barabarani kama ilivyo Tanroad.

Hiki chombo kitasimamiwa na mkurugenzi ambaye atakuwa ni raia na sio askari kama ma RTO n.k.Huyu mkurugenzi atateuliwa na waziri wa miundombinu.

Hiki chombo kitaajiri watu wenye taaluma za uhasibu,usafirishaji na kozi nyingine toka NIT na Utawala toka vyuo mbalimbali nchini .Pia kitaajiri madereva toka veta na mafundi.
Tofauti na ilivyo sasa ambapo traffiki wengi wamepewa madaraka makubwa bila kuwa na taaluma zaidi taaluma ya upolisi wao.Mfano trafki anakutana na Professor yuko na my wife wangu hajafunga mkanda badala ya kumwambia kosa lake na kumwandikia faini anaanza kumwambia ''wewe baba huna akili unaendeshaje gari bila kufunga mkanda.Halafu unashindwa hata kutoa elfu mbili gari yako ikaoshwa,inaelekea wewe ni bahili sana''.
Ikumbukwe kuwa mtu yeyote mwenye elimu ndogo akipewa rungu anataka amwonyeshe yule aliyekuwa anamzidi darasani kuwa yeye ni zaidi na ana mamlaka.
Ndio maana unapowaona viongozi wao ambao ni wasomi siku wakiwa barabarani wananchi wanapumua pamoja na kuwa siku hiyo faini zitaandikwa nyingi bila malalamiko ya kuonewa.

Kwa kweli kwa sasa suala zima la usalama barabarani linapaswa kubadilishwa jina na kuitwa ''kero na usumbufu barabarani'' ,nadhani kuna watu watabisha lakini kama ukisafiri safari ndefu mfano kutoka DSM mpaka Mbeya utaona mtu anavyosimamishwa kila siku na kuulizwa kitu kile kile tena kwa kukaa zaidi ya dk 20.Trafiki anasimamisha gari tatu kwa wakati mmoja halafu anaendelea kuongea na simu na ole wako umwambie kwamba unachelewa utasimulia hadithi ya Kalumekenge.Lakini mwenye gari akitoka na msimbazi basi hata haambiwi kosa.
Mfano mwingine ni basi Kila siku zikitoka asubuhi saa 11 zinakaguliwa stendi tena kwa kutumia tochi lakini wanachoangalia sio ubora wa gari ni makusanyo ya kila basi linalotoka ili liruhusiwe bila longolongo.
Mfano tu basi likitoka Ubungo kilometa chache tu pale kibaha linakaguliwa kadi yake lakini sio kwa maana ya kadi bali kile kilichokunjwa kwenye kadi,yaani takrima.

-Pia ningeshauri kuwa kitengo cha ukaguzi wa magari kijitegemee na kiimarishwe chini ya wizara ya miundo mbinu,kwani kulingana na sheria waziri wa miundo mbinu
ndiye mwenye dhamana ya kutangaza wakaguzi wa magari jambo ambalo kwa sasa naona ni suala la viongozi wa polisi,sidhani hata kama kigezo cha elimu kinazingatiwa kwani wapo wengine tunaowafahamu ni darasa la saba lakini wanafanya kazi ya kuzuia magari na kuidhinisha ubora wa gari.Hapa kuna tatizo!!

FAIDA YA KUUNDA CHOMBO CHA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VYOMBO VYA USAFIRI:

-Kutoa ajira mpya kama ilivyo SUMATRA na TANROAD kwa vijana wengi wanaimaliza vyuo kwani tayari polisi wanaajira na mishahara yao.
-Kutumia mabilioni ya pesa zinazotokana na faini kwa ajili ya kuimarsha miundo mbinu kama vile kujenga marobot ya kuongozea magari,taa za barabarani za kisasa kwa kufanya tafiti za taa zenye uwezo wa kutumia sensor wakati wa kuongoza magari.
-Kutumia mabilioni ya pesa za faini kuweka kamera kwenye barabara kuu ili kutoa faini kwa haki.
-Kutumia mabilioni ya faini kufunga mitambo ya GPS kwenye malori na mabasi yote ili kudhibit mwendo kasi na kwa sababu ni suala litakalokua linasimamiwa na wasomi kama ilivyo tanroad basi ufanisi utakuwepo.

-Kupunguza tatizo la trafiki kufanya kazi kwa mashinikizo kutoka kwa wakubwa wao.Mfano OCD akimwambia trafiki aliyekamata gari kwamba aiachie basi inabidi afanye hivyo ili asitolewe utrafiki.Mwenye cheo ndio mwenye nguvu.

-Pia Itasaidia kuwaweka barabarani watu wenye taaluma na elimu ya kutosha jambo litakalosababisha wananchi wawaheshimu.

-Suala la ukaguzi wa magari litafanywa na mitambo maalumu na faini yake itaandikwa moja kwa moja kupitia mtandao kwa mmiliki wa gari.

Kupunguza bughudha ya kukamata mara kwa mara kwa watu wanaokwenda tu maofisini bila hata makosa yenye madhara.Mtu atakamatwa tu baada ya kuonekana kwenye kamera na taarifa zake kutolewa ili akamatwe na kuandikiwa faini.

-Kufanya matumizi mazuri na yenye tija kwa jamii yanayotokana na pesa za faini zinazokusanywa.Tofauti na ilivyo sasa ambapo pesa zinakusanywa na kutumiwa na wizara yenye wafanyakazi wanaolipwa na hazina hivyo kufanya hizo pesa kuwa ni posho ya chai na vitumbua na kuongezea sambusa juu kule wizarani.
-Polisi kuwa na nguvu ya kushirikiana na PCCB kuwadhibiti madereva wanaotoa rushwa ili wasiandikiwe faini.

Zipo faida nyingi sana sana za kuipunguzia polisi baadhi ya shughuli za usalama barabarani.

Pia Ikumbukwe kuwa watumiaji wa barabara sio wahalifu bali ni watu wenye haki ya kutumia barabara hizo kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizo wekwa. Watumiaji wengi wa barabara ni watu na heshima zao wanaokwenda kutekeleza majukumu ya kazi zao hivyo kuendelea kuachia tigo na traffiki kuwanyanyasa watu ni kuzidi kujijengea chuki kwa jamii.
Hivyo hiki chombo kitasaidi kazi za barabarani na askari wengi waende kwenye doria na malindo na kuwafanya askari kulinda watanzania.

Askari wa misafara na kuongoza magari watakuwa wanapangiwa zamu kama ilivyo kwenye shughuli nyingine za maandamano.

mkuu una hoja lakini pia ujue sifa ya kuwa traffick wengi wanatoka veta, wale wamejipanga sana tofauti na unavyofikiri labda kuwe na idara katika jeshi la polisi ambayo inaangalia nidhamu ya jeshi hilo tu kama ilivyo kwa MP military police kwa wenzetu wa jeshi la wananchi

hicho kikosi kazi yao ni kuangalia nidhamu ndani ya jeshi tu na sio kudeal na raia vinginevyo awe amefanya kosa mbele yake
 
Ni huenda wachache miongoni mwao wamesoma VETA lakini ajira yao ni upolisi zaidi ndio maana huwa wanatumia nguvu na jazba hata pale wanapokutana na mwanafunzi au daktari anayetumia gari yake kwenda kazini anapotaka kujua haki zake kabla ya kuandikiwa faini. Mfano suala la faini ni pale mtu anapokubali kosa kama hakubali kosa basi inabidi sehemu ya kwanza yenye chaji ya kwenda mahakamani itumike. Na hiyo faini itakipiwa mahakamani au kuachiwa huru.

Kuunda kitengo cha kiraia ili kiongeze nguvu SUMATRA ni kuibua soko kubwa sana la ajira nchi nzima kwa wasomi wa IT,Usafirishaji ,uhasibu,utawala n.k.
Wasomi watapata nafasi ya kutathmini namna ya kukabiliana na changamoto zilizopo kuliko kulimbikiza kila kazi kwenye majeshi huku mabadiliko yakiyumba kwa kukosa dhamira.Mfano RTO aliyesoma uvuvi au ufugaji wa nyuki unamkuta ndiye mratibu na msimamizi mkuu wa shughuli za usalama barabarani wa mkoa. Unategemea nini anapokutana na watu wa SUMATRA au Tanroad waliobobea kwenye mambo ya usafirishaji?!!

Zamani shughuli zote za ulinzi zikifanywa na polisi wenyewe na watu waliamini kuwa hakuna uwezekano wa watu binafsi kutoa huduma hiyo.
Leo hii kuna makampuni binafsi mengi sana na yametoa ajira nyingi sana na kuajiri mpaka askari waliokuwa wamestaafu na kupewa kiinua mgongo kiduchu.
 
Back
Top Bottom