Kitengo cha Propaganda CCM kuweni smart na Proffesional!

Kitengo cha Propaganda CCM kuweni smart na Proffesional!

Shida sio usmart wa wanaotengeneza propaganda au propaganda zenyewe, shida kubwa ni wapokeaji wa hizo propaganda zao wa sasa G -z , wapokeaji wa propaganda za sisiem nyakati za Tanzania ya GIZA yaani hakuna Teknolojia walikuwa na uelewa ndogo sana juu ya mambo mengi ya Nchi hii ndio maana walipata urahisi wakukubalika hata kama propaganda zao zililuwa za kijinga.
Gen-Z saizi wanapima na kufanaya reasoning ya kila jambo ndio maana unaona kila wanacholeta kinafeli vibaya sana, propaganda zao hazilengi kusaidia jamii zinalenga kushambulia upinzani kitu ambacho ndio kufeli kwake kwasababu wapokeaji wanataka wasemewe juu ya changamoto zao za maisha, ukosefu wa ajira watu kutekwa hovyo lkn badala yake ccm wamejikita kutetea yanayolalamikiwa na wapokeaji wa hizo propaganda zao.
Chadema wanafanikiwa kwenye propaganda zao kwasababu kubwa Moja propagandist wao anaanda ajenda zao kulingana na uhalisia wa maisha ya wapokeaji na matendo halisi ya serikali na ccm yao....!!.
Yaani ni sawa na kizazi Hiki uwapigie nyimbo za Nuta jazz!
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,

Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,

Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,

Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,

Nimelize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!
Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu!
 
Urojo hawana akili
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding others

"Watu wenye mawazo finyu (au wasio na mtazamo mpana) hutambulika kwa ugumu wa kiakili (kutobadilika mawazo), ukosefu wa huruma, na kutokuwa tayari kuzingatia mitazamo mipya. Kulingana na makubaliano ya wataalamu wa saikolojia, mara nyingi hutegemea dhana potofu, huonyesha fikra za kubahatisha au za kupindukia (kama vile kuamini jambo ni zuri kabisa au baya kabisa pasipo na wastani), na kutanguliza maslahi ya kibinafsi au kiburi chao badala ya kujaribu kuwaelewa
 
Shida sio usmart wa wanaotengeneza propaganda au propaganda zenyewe, shida kubwa ni wapokeaji wa hizo propaganda zao wa sasa G -z , wapokeaji wa propaganda za sisiem nyakati za Tanzania ya GIZA yaani hakuna Teknolojia walikuwa na uelewa ndogo sana juu ya mambo mengi ya Nchi hii ndio maana walipata urahisi wakukubalika hata kama propaganda zao zililuwa za kijinga.
Gen-Z saizi wanapima na kufanaya reasoning ya kila jambo ndio maana unaona kila wanacholeta kinafeli vibaya sana, propaganda zao hazilengi kusaidia jamii zinalenga kushambulia upinzani kitu ambacho ndio kufeli kwake kwasababu wapokeaji wanataka wasemewe juu ya changamoto zao za maisha, ukosefu wa ajira watu kutekwa hovyo lkn badala yake ccm wamejikita kutetea yanayolalamikiwa na wapokeaji wa hizo propaganda zao.
Chadema wanafanikiwa kwenye propaganda zao kwasababu kubwa Moja propagandist wao anaanda ajenda zao kulingana na uhalisia wa maisha ya wapokeaji na matendo halisi ya serikali na ccm yao....!!.
Fact mkuu Wajitafakri sana,hakuna kitu kibaya kama wananchi wakipoteza imani na Chama Tawala hua anguko lake sio kitoto!
 
Back
Top Bottom