Kitendo cha Waarabu kumuona Iran ni adui badala ya Israel kinanisikitisha sana

Kwahiyo wewe ndio unawapangia nani awe rafiki na nani awe adui,mkuu umekula maharage ya wapi
Mimi sijawapinga mkuu nimeuliza swali lakin sijui kwanini hamutak kunijibu mnaanza kuchonga tena
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Hapa ni bifu kati ya Washia (Iran) na Wasuni (Saudi Arabia)! Tatizo lako unafikiri kuwa Uislamu unafanana dunia nzima!
 
Pole sana kwa mawazo mrama uliyokuwa nayo rafiki.
Hakuna taifa lolote litakaloweza kumpiga Israel. Hilo ni taifa ambalo Mungu wa kweli aliyeziumba mbingu na nchi alikwisha kulitamkia baraka na ulinzi. Pia elewa kuwa hizo baraka ni IRREVERSIBLE.

Ukiichukia Israel ni kwa hasara yako na ukiibariki Israel ni kwa faida yako. Mungu wa kweli habadiliki, akisema amesema na ni yeye yule jana leo na hata milele.
If you don't understand this truth and make up your mind, I pity you and whosoever you serve.
ila hao mayahudi wenyewe hawamuamini mungu mwana na walimsulubisha kifo cha dhihaka kwa kumtundika kwenye ubao. hebu wacheni hii myth ya taifa takatifu. hawa mayahudi ni criminals watu wabaguzi na katili sana. ila nisieleweke kama waarabu wao ni wema. aheri waajemi wameonyesha hawakubali kutumikia maslahi ya mabeberu wa kimarekani.
 
hakuna mwema dunia hii kla watu huangalia maslahi ya mataifa yao
 
Hapa ni bifu kati ya Washia (Iran) na Wasuni (Saudi Arabia)! Tatizo lako unafikiri kuwa Uislamu unafanana dunia nzima!
Na bifu lenyewe la karne nyingi. Kama sijakosea, lilianza baada ya kifo cha mtume Muhammad ikigombewa urithi wa nafasi ya mtume.
 
Back
Top Bottom