Israel ndiyo inayoongoza kwa kufanya mauaji ya maadui zake nje ya taifa lao

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,077
Wayahudi kama wasingewekeza sana kwenye usalama, huenda mpaka sasa jamii hiyo isingekuwepo Duniani. Watu hawa, ukiacha wale waliopo Ulaya na America, wanaishi katikati ya maadui zao, huku matendo ya kila upande yakizidisha uhasama zaidi na zaidi.

Leo hii ndugu, jamaa na familia zote ambazo wapendwa wao waliuliwa kinyama na magaidi wa HAMAS ile tarehe 7 October nchini Israel, watakuwa na uadui wa kudumu dhidi ya wapalestina kwa miaka mingi ijayo.

Na wale ndugu, watoto, na jamaa wa familia za Wapalestina ambao ndugu zao wameuawa na majeshi ya Israel katika vita ya kulipiza kisasi dhidi ya Hamas, watakuwa maadui wa kudumu wa Israel.

Hata hivyo, kumbukumbu zinaonesha ni Israel ambayo imewahi kufanya mauaji dhidi ya viongozi wa makundi adui zake, hata wakiwa kwenye mataifa makubwa, kwa mafanikio makubwa, kuliko Taifa lolote. Jambo ambalo linaishangaza Dunia nzima. Angalia msululu wa viongozi wa makundi adui waliouawa na Mosad nje ya Israel:

Mwaka 1956
Misri: Mustafa Hafez
Jordan: Salehe Mustafa

Mwaka 1962 - 1965
Germany: Heiz Kruig
Uruguay: Herberts Cukus

1972 - 1979
lebanon: Basdam Abu Sharif, Ghasam, Kanafan, Kamar Adwan, Mohammad Youssef, Kamar Nasser, Ali Hassan
Italy: Abdel Wael Zwaiter
France: Mahmoud Hamshari, Basil Al Kubaisi, Mohammad Boudia
Cyprus: Husein Al Bashir
Greece: Zaid Muchasi
Germany: Wade Haddad

1980 -1989
France: Yahia El Mashad
Brazil: Jose Alberto
Greece: Mamoun Meraish, Khalid Nazzal, Munther Abu
Tunisia: Abu Jihad
Misri: Said Bedair

1990-1999
Belgium: Gerald Bull
Lebanon: Abbas El Musawi
France: Atef Bseiso
Malta: Fathi Shaqaqi

2000 -2009
Lebanon: Mahmoud Majzoub
Syria: Muhammad Suleiman

2010 - 2019
Iran: Masoud Alimohammadi, Danoush Razaeinejad, Gen. Hassan Moghaddam, Isam Batash, Mistafa Roshan
Syria: Hassan Shateri, Mwafiq Badiyen, Jihad Mughniyan, Mohamed Issa, Abu Reza, Mohammed Ali, Allah Dadi, Idmail Ashhab, Abu Hijaz, Hassan Al Hassn, Ghazi Ali, Ali Hussein, Samir Kuntar, Farhan Idsam, Mohammed Fahemi, Mir Ahmad, Azziz Asbar
Labanon: Hassan al Leqqis
Tunisia: Mohammed Zawari
Malaysia: Fadi Batsh
UAE: Mahmoud al Mabhouh

2020 - 2023
Iran: Abdullah Ahmed Abdullah, Mohsen Fakhrizaden, Hassan Khodaei
Syria: Ali Ramzi, Ali Okasha, Zaher Alaa

Jana 3 Jan 2024
Seven Hamas members killed in Israeli assassination: Haniyeh

Ismail Haniyeh has identified the Hamas members who were killed as Saleh al-Arouri, the deputy head of Hamas’s political bureau; Qassam Brigades commanders Samir Findi and Azzam al-Aqraa; and Hamas members Mahmoud Zaki Shahin, Mohammad Bashasha, Mohammad al-Rayes and Mohammad Hamoud.

Kwa uadui uliojengeka, na mashambulio ya kulipiza kisasi, sioni hata dalili kuwa Israel inaweza kuwa na mahusiano mazuri na waarabu wa Palestina. Bila shaka mashambulio ya makundi ya kigaidi dhidi ya Israel yatatokea tena kila baada ya muda fulani, halafu baada ya hapo Waarabu wa Palestine watajuta kwa maana kifo cha kila muisrael 1 kinalipwa kwa vifo zaidi ya 20 vya waarabu wa Palestine. Mpaka sasa, Waisrael takribani 1,200 waliuawa na magaidi wa Hamas; na vifo hivyo, mpaka sasa vimelipwa kwa vifo vya Wapalestina takribani 22,150, na vita inaendelea.
 
Hata hivyo, kumbukumbu zinaonesha ni Israel ambayo imewahi kufanya mauaji dhidi ya viongozi wa makundi adui zake, hata wakiwa kwenye mataifa makubwa, kwa mafanikio makubwa, kuliko Taifa lolote.
Wakifanya Israel mnasema ni ushujaa na ukomandoo wakifanya Hamas mnaita ugaidi na Kagame akifanya mnaita udikteta!!

Huwezi jisifia kuua viongozi wa upinzani, wao wakamuue mfano yule mbunge wa USA Ilhan Omar au Rashida Tlaib coz huwa wanapinga uzayuni. Wakiwaua hao utaona moto watakaowashiwa na hao hao US!! Ila kujisifia kuua wapinzani ambao hawana jeshi, wala airforce wala intelijensia ni sawa na CCM ijisifie kumshoot Lissu, Saanane n.k
 
Ni ugaidi kama ugaidi mwingine tu.
Rwanda kila siku tunalalamika anavyoua watu hovyohovyo ugenini.
Alqaeda, na IS mbona nao wameua mamia ya watu kwenye ardhi ya ugenini?.
 
Wayahudi kama wasingewekeza sana kwenye usalama, huenda mpaka sasa jamii hiyo isingekuwepo Duniani. Watu hawa, ukiacha wale waliopo Ulaya na America, wanaishi katikati ya maadui zao, huku matendo ya kila upande yakizidisha uhasama zaidi na zaidi.

Leo hii ndugu, jamaa na familia zote ambazo wapendwa wao waliuliwa kinyama na magaidi wa HAMAS ile tarehe 7 October nchini Israel, watakuwa na uadui wa kudumu dhidi ya wapalestina kwa miaka mingi ijayo.

Na wale ndugu, watoto, na jamaa wa familia za Wapalestina ambao ndugu zao wameuawa na majeshi ya Israel katika vita ya kulipiza kisasi dhidi ya Hamas, watakuwa maadui wa kudumu wa Israel.

Hata hivyo, kumbukumbu zinaonesha ni Israel ambayo imewahi kufanya mauaji dhidi ya viongozi wa makundi adui zake, hata wakiwa kwenye mataifa makubwa, kwa mafanikio makubwa, kuliko Taifa lolote. Jambo ambalo linaishangaza Dunia nzima. Angalia msululu wa viongozi wa makundi adui waliouawa na Mosad nje ya Israel:

Mwaka 1956
Misri: Mustafa Hafez
Jordan: Salehe Mustafa

Mwaka 1962 - 1965
Germany: Heiz Kruig
Uruguay: Herberts Cukus

1972 - 1979
lebanon: Basdam Abu Sharif, Ghasam, Kanafan, Kamar Adwan, Mohammad Youssef, Kamar Nasser, Ali Hassan
Italy: Abdel Wael Zwaiter
France: Mahmoud Hamshari, Basil Al Kubaisi, Mohammad Boudia
Cyprus: Husein Al Bashir
Greece: Zaid Muchasi
Germany: Wade Haddad

1980 -1989
France: Yahia El Mashad
Brazil: Jose Alberto
Greece: Mamoun Meraish, Khalid Nazzal, Munther Abu
Tunisia: Abu Jihad
Misri: Said Bedair

1990-1999
Belgium: Gerald Bull
Lebanon: Abbas El Musawi
France: Atef Bseiso
Malta: Fathi Shaqaqi

2000 -2009
Lebanon: Mahmoud Majzoub
Syria: Muhammad Suleiman

2010 - 2019
Iran: Masoud Alimohammadi, Danoush Razaeinejad, Gen. Hassan Moghaddam, Isam Batash, Mistafa Roshan
Syria: Hassan Shateri, Mwafiq Badiyen, Jihad Mughniyan, Mohamed Issa, Abu Reza, Mohammed Ali, Allah Dadi, Idmail Ashhab, Abu Hijaz, Hassan Al Hassn, Ghazi Ali, Ali Hussein, Samir Kuntar, Farhan Idsam, Mohammed Fahemi, Mir Ahmad, Azziz Asbar
Labanon: Hassan al Leqqis
Tunisia: Mohammed Zawari
Malaysia: Fadi Batsh
UAE: Mahmoud al Mabhouh

2020 - 2023
Iran: Abdullah Ahmed Abdullah, Mohsen Fakhrizaden, Hassan Khodaei
Syria: Ali Ramzi, Ali Okasha, Zaher Alaa

Jana 3 Jan 2024
Seven Hamas members killed in Israeli assassination: Haniyeh

Ismail Haniyeh has identified the Hamas members who were killed as Saleh al-Arouri, the deputy head of Hamas’s political bureau; Qassam Brigades commanders Samir Findi and Azzam al-Aqraa; and Hamas members Mahmoud Zaki Shahin, Mohammad Bashasha, Mohammad al-Rayes and Mohammad Hamoud.

Kwa uadui uliohengeka, na mashambulio ya kulipiza kisasi, sioni hata dalili kuwa Israel inaweza kuwa na mahusiano mazuri na waarabu wa Palestina.
Mossad are very intelligent in case of Espionage.
Ni miongoni mwa taasisi bora zaidi za Ujasusi hapa duniani, na Mtanadao wao ni mpana sana tena ni wa Siri kubwa zaidi kiasi kwamba ni vigumu sana kuwa-detect mawakala wake wawapo mahali popote pale.
 
Wakifanya Israel mnasema ni ushujaa na ukomandoo wakifanya Hamas mnaita ugaidi na Kagame akifanya mnaita udikteta!!

Huwezi jisifia kuua viongozi wa upinzani, wao wakamuue mfano yule mbunge wa USA Ilhan Omar au Rashida Tlaib coz huwa wanapinga uzayuni. Wakiwaua hao utaona moto watakaowashiwa na hao hao US!! Ila kujisifia kuua wapinzani ambao hawana jeshi, wala airforce wala intelijensia ni sawa na CCM ijisifie kumshoot Lissu, Saanane n.k
Mossad huwa hawafanyi mauaji ya hovyo hovyo ya kiholela bila ya kuwa na sababu za msingi kama huyo Kagame au tawala za kijamaa/kikomunisti kama vile China, Urusi, Belarussi, au tawala za kibedui kama vile Iran, Afghanistan, Saud Arabia, Pakistan, n.k.
 
Wakifanya Israel mnasema ni ushujaa na ukomandoo wakifanya Hamas mnaita ugaidi na Kagame akifanya mnaita udikteta!!

Huwezi jisifia kuua viongozi wa upinzani, wao wakamuue mfano yule mbunge wa USA Ilhan Omar au Rashida Tlaib coz huwa wanapinga uzayuni. Wakiwaua hao utaona moto watakaowashiwa na hao hao US!! Ila kujisifia kuua wapinzani ambao hawana jeshi, wala airforce wala intelijensia ni sawa na CCM ijisifie kumshoot Lissu, Saanane n.k
Israel ina deal na mtu ambaye wanamuona ni threat kwao,ni sawa na nyie mnaoipigia kelele CCM lakini wanawaacha kwasababu wanajua hamna influence yoyote ya kuleta madhara kwenye himaya yao.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mossad are very intelligent in case of Espionage.
Ni miongoni mwa taasisi bora zaidi za Ujasusi hapa duniani, na Mtanadao wao ni mpana sana tena ni wa Siri kubwa zaidi kiasi kwamba ni vigumu sana kuwa-detect mawakala wake wawapo mahali popote pale.
Jamaa wamewekeza sana kwenye rasilimali watu na teknolojia alafu wana pesa na connection za kutosha,utawaambia nini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wakifanya Israel mnasema ni ushujaa na ukomandoo wakifanya Hamas mnaita ugaidi na Kagame akifanya mnaita udikteta!!

Huwezi jisifia kuua viongozi wa upinzani, wao wakamuue mfano yule mbunge wa USA Ilhan Omar au Rashida Tlaib coz huwa wanapinga uzayuni. Wakiwaua hao utaona moto watakaowashiwa na hao hao US!! Ila kujisifia kuua wapinzani ambao hawana jeshi, wala airforce wala intelijensia ni sawa na CCM ijisifie kumshoot Lissu, Saanane n.k

Wanaowasifia hao ni chawa chawa tu kama wale wa vyama vya siasa
 
Hao Mayahudi ni Mashetani tu. Mimi siyo Mwarabu, siyo Hamas, wala mfuasi wa dini ya haki! Ila niwe tu mkweli; nikisikia Yahudi hata moja tu limekufa, huwa ninajisikia raha sana.

Why? Kwa sababu tu sipendi kuishi dunia iliyojaa watu wanaopenda uonevu na mauaji.
 
Back
Top Bottom