Kitendo cha Waarabu kumuona Iran ni adui badala ya Israel kinanisikitisha sana

Tumefungua juzi tu ubalozi huko Israel wewe ukiwa mshauri wa CCM wa mambo ya foreign sasa wakati wenzako wanajadili wazo lako la kufungua ubalozi we umepita mlango wa nyuma unakuja kufitini.?!
 
Hapa ni bifu kati ya Washia (Iran) na Wasuni (Saudi Arabia)! Tatizo lako unafikiri kuwa Uislamu unafanana dunia nzima!
Aisee kwahiyo haufanan mkuu vp uisilamu wetu wa tanzania nao uko tofaut na nchi zingine
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha

HAPANA, Israel haijakalia wala kuvamia kwa mabavu eneo lolote la Waarabu au la nchi yoyote duniani humu. Israel amerudi kwenye nchi yake ambayo historia, maandiko na sayansi vinathibitisha kuwa yeye ndiye mmiliki pekee wa ardhi ile na Yerusalem ndio mji wake mkuu. Tena kwa taarifa tu, eneo la ardhi na jiografia iliko sasa hivi nchi ya Israeli ni dogo na halizidi 25% ya ya iliyokuwa ardhi jumla ya halali na milki yake kabla ya mwaka 70 A.D. walipofukuzwa na Mwenyezi kwenda uhamishoni/utawanyiko na baadaye kurudi mahali pale pale mwaka 1948 A.D., na kama unaweza kuamini ule ni muujiza mkubwa sana katika karne hii wenye kulihusu taifa au nchi yoyote ile duniani!

Nikupe vidokezo vichache kwa lishe na afya ya ubongo na roho yako:-

1) Kuna takriban jumla ya nchi 21 za Kiarabu, zenye kumiliki zaidi ya 99.8% ya ardhi yote ya Mashariki ya Kati, iliyobaki 0.2% ni Israel.

2) Nchi za Kiarabu zina jumla ya idadi ya watu (population) zaidi ya milioni 500 na Israel/Wayahudi ni milioni 6.5 tu hapo Mashariki ya Kati.

3) Duniani kote inakadiriwa (jamii) Waarabu idadi yao ni zaidi ya milioni 800, Waisrael/Wayahudi wote wanakadiriwa kuwa milioni 16 tu.

4) Sehemu kubwa ya nchi za Kiarabu zina rasilimali ya mafuta, gesi na madini ya thamani. Tena nyingi zinaongoza kwa uchimbaji na uuzaji wa bidhaa hizo duniani. Lakini Israel sehemu kubwa ni miamba yenye hali ya jangwa, lakini kwa akili , bidii, uvumilivu na maarifa wamefanikiwa kuigeuza na sasa ni nchi ya kilimo na ufugaji. Hawana hata 3% ya rasilimali walizonazo jirani zake Waarabu.

5) Sasa ni kwanini Umma wa Nchi za Kiarabu usiwasaidie Wapalestina kwa ku-wa assimilate/absorb jamii ndogo (ya Wapalestina) kwenye nchi zao? Si tu kwamba watakuwa wametatua "kero" ya ndugu zao lakini kwa sehemu pia watakuwa wametatua moja kwa moja mshike mshike na Israel, ambayo pamoja na udogo wa eneo la ardhi yake inachukua/inabeba hiyo jamii yote ya Wayahudi 16m (kwa sasa wanakadiriwa kuwa 6m na wanaendelea kuja).

6) Mwenyezi Mungu ndiye alieyumba dunia na vyote vilivyomo. Ndiye anayeimiliki, dunia hii 100% ni mali ya Mungu Muumba, tukubali tukatae. Yeye ndiye aliyeweka mataifa/nchi za ulimwengu, jamii (race) za watu, mipaka nk. Hizo nchi mnazosema zetu (za Kiarabu) ni yeye aliyeziweka. Tunaposema Afrika ni yetu ni yeye aliyeweka. Na ni Yeye huyo huyo aliyewapa Wayahudi nchi ile tena kwa ahadi. Kwanini kuna shida gani hasa (intellectually and logically) Israel kuwa taifa kwenye ardhi ile? Hivi hamuoni shida ni upande wa roho zaidi?

Ni Mwenyezi Mungu pekee anayehakikisha Israel wanakaa kwenye nchi yao wenyewe na kumiliki alichowapa kwa makusudi na utukufu wake. Puuzeni hadithi na nasaba zenye kuthanisha/kudai eti Wayahudi wana akili na hila na ndio maana wamekuwa wanashinda majaribu na vita zinazotishia uhai wao na taifa lao, ni Mungu tu. Hivyo basi kushindana na Muumba sio jambo jema wala la heri kwa mtu wala taifa lolote.

Nakusihi ufanye nukuu/rejea zifuatazo:-

1) MUNGU Muumbaji: Genesis/Mwanzo sura ya 1 yote. Soma Zaburi ya 24:1-3, Zaburi 115:16.

2) Mababa wa Wayahudi (Ibrahim, Isaka, Yakobo na Wafalme wao) walinunua na kumiliki ardhi mf. Hebron (Mwanzo 23), Shekemu (Mwanzo 33) na Yerusalem (2 Samweli 24).

3) Mwenyezi MUNGU aliwapa Israel/Wayahudi nchi ile kwa ahadi na agano la milele: Mwanzo Sura ya 15 na 17, Zaburi 105:3-15, Yeremia 30:10-22, Yeremia 31:8-9, mst. 31-40.

4) Mwenyezi MUNGU ndiye aliyeweka mipaka na maskan za wanadamu: Kumbukumbu la Torati 32:8, Matendo ya Mitume 17:26, Zaburi 115:16
 
Usicheze na Israel,nchi inayoweza kubadilishana mateka wao mmoja na mamia ya wapalestina!
Halafu mimi principal yao ndio inanifurahisha,ukitungua mmoja wao wanatungua mara 20 yake!
Duh! ina maana wao ni jino kwa jino na sio ukipigwa shavu la kushoto geuza la kulia? hakuna kumuachia mungu.
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Wairani sio waarabu wale ni Persian Jews
Ni sawa na kusema Wapakistan ni waindi au waarabu
Au Korea na Japan ni wachina
Waturuki ni waarabu au wazungu
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Israel ni Nchi Hatari Sana Ndugu - Makampuni Ya Wayahudi Ndio Yameshika Dunia Hasa Kwenye Masuala ya Communications Technology
 
Kama ndo hivyo bas hao jamaa ni hatar sanna
Lazima iwe hatari maana nasikia hilo taifa linalindwa,hivyo yote wanayotafanya wamepata baraka kutoka mungu na ndiyo njia mungu anayoitumia kulinda hilo taifa.

Yani ni jino kwa jino.
 
Unaonekana ukiambiwa nenda kajiripue mbele ya kundi LA wanaisrael utaenda na kutekeleza Kwa 100%
 
Back
Top Bottom