Kitendo cha kuchelewa kutangaza na kugomea matokeo - Mwanzo wa machafuko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendo cha kuchelewa kutangaza na kugomea matokeo - Mwanzo wa machafuko

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TIMING, Nov 1, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu....

  Nimepiga kura kwa amani sana... sasa napata wasiwasi sana kusikia z'bar wanagoma kusaini, Arusha wanagoma ku-sign na pia nimesikia matokeo ya urais yasitangazwe hadi yajumulishwe...

  Je ndio tunaanza kuelelea kenya experience?

  Kama itakua hivyo, Kikwete na watu wako... hii ni damu yenu wala si ya wapinzani
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa naanza rasmi kuwa na wasiwasi na amani... unapoona wabunge wa chama tawala tena waandamizi kama batilda, masha na diallo wanagoma kusain.... ni kiashiria gani kinaonyesha imani ya zoezi zima la uchaguzi??

  let me be clear here..... huu ndio mwanzo wa vurugu
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hapo ndio naanza kufikiria kuwa wanafanya mjadala jinsi gani ya kumanuva matokeo
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Machafuko ndo yanapoanzaga
   
 5. T

  Tanzanian Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa staili hii nafikiri machafuko hayakwepeki, hata mimi siwezi kukubali haki yangu ipotee hivihivi
  kwanini kwanini kwanini, aliyosema dr slaa kuwa serikali na ccm , lakini siyo upinzani.
  Na sasa tunaona kwa macho yetu. Anyway tusubiri
   
 6. R

  Ringomaniac Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshakata tiketi ya kwenda kuishi kampala kwa mwezi mmoja.
   
 7. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora Nie kwa kutetea maendeleo
   
Loading...