Kitendawili

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Ankaa mekoni alia Nyauuu~~~~~nyauuu~~~~~~nyauuuu~~~~~~~
Hebu nipeni jibu, au mnipe mji.
 
Umekosa bana, paka halii nyau analia hivi~~~~~ "Miaooo~~~Miaooo~~~Miaooo"

weye mama hicho kitendawili ni cha kipemba? Kama ndivyo basi jibu lake ni.....ah nipe mji kwanza usije kun'zurumu yakhe.nipe mji fasta nimalize mambo.
 
Back
Top Bottom