Kitendawili!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kashaija, Sep 24, 2008.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kikiwa kichafu CHEUPE, kikiwa kisafi CHEUSI. Je, ni kitu gani hiki?
   
 2. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kitendawili chako kigumu,lakini si tatizo mie nakupa mji.Nenda kigoma mwana wane ukale migebuka na muheshimiwa zito.Haya lete liamswer sasa
   
 3. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kigoma kwa watani wangu, siendi. Hata hivyo jibu lake ni rahisi sana.
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  au mimi nikupe mji? basi nenda dodoma saa hizi kumetulia wabunge wameondoka
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama ndo hivyo mwana wane,njoo kwenye lijiji la mwanza,tutakupikia matoke na risangara mwanawane.Karibu sana
   
 6. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni Black Board. chafu ina chalk na ukufuta ni safi.
   
 7. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanx Nyaralego.
   
Loading...