Jiko la gesi nalo lina mafiga? Mkubwa wa jiko ni chumvi bibie hujuwi kuwa Chakula bila ya chumvi hakinogi? Sawasawa na mwanamme asiye kuwa na Mwanamke hana raha ya maisha.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya "jiko" na "jikoni"Babu kwanza Shikamoooo! Hapa napata picha kuwa neno jiko ni neno tata, labda mtunzi atueleweshe amemaanisha nini aliposema jiko? By the way kwani kachumbari yahusisha jiko? Mie sijambo
Karibu sana siku moja nikupikie.......... hutarudi kwenu nakuapia.Nakuslimia kwa jina la bwana babu,nimefurahi kwa vile kumbe hata mambo kitchen uko pouwa!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya "jiko" na "jikoni"
Karibu sana siku moja nikupikie.......... hutarudi kwenu nakuapia.
Hujambo lakini? Na viungo vyako vyote havijambo?
Jiko la gesi nalo lina mafiga? Mkubwa wa jiko ni chumvi bibie hujuwi kuwa Chakula bila ya chumvi hakinogi? Sawasawa na mwanamme asiye kuwa na Mwanamke hana raha ya maisha.
Nani alikudanganya viungo vya kupikia ni vyako?Haa haaa sijambo babu,
Ila hata mie nakubaliana na ww Babu chumvi ni kila kitu no matter iwe ni ndani ya jiko au jikon.
Babu naomba fafanua kidogo,Viuongo vyangu vya mwili au viungo vya kuungia chakula babu?
chumvi
Haaaaa haaaa!Nani alikudanganya viungo vya kupikia ni vyako?
Viungo vyako unatembea navyo bana!
Hata mwenye swali hajui jibu, kwani vyakula vyote vyatiwa chumvi? Mkubwa wa jiko moto, hakuna chakula kipikwacho bila moto
Nauliza Swali Jamani mkubwa wa jiko ni nani?
Na Mwanamke asiye kuwa na Mwanamme inakuwa kama ni chumvi isiyotumikana mwanamke asiye kuwa na mwanamme anakuwaje.
Mkuu hizi sio lipstick hizi ni Dawa za kienyeji Mitishamba zilizo Twanga zinangoja kutumika tu haahahahahahahahMM ile avatar yako ya wali iko wapi Mkuu,
mimi unanichanganyi na hizo lipstick ulizoweka,
au ndo umeingia kwenye siasa za kwa malkia.
Tofauti yake ni nini hiyo kati "jiko" na "jikoni"? Hebu tupe basi?Kuna tofauti kubwa sana kati ya "jiko" na "jikoni"
Karibu sana siku moja nikupikie.......... hutarudi kwenu nakuapia.
Hujambo lakini? Na viungo vyako vyote havijambo?
Chumvi ipi Mkuu, inayotiwa katika mlo au ileee ya yale mambo ya kikubwa? VIVA JF.
miminimeuliza mkubwa wa jiko sikuuliza mkubwa wachumvi mkuu upo pamoja na mimi?Na hiyo chumvi bila kichoteo(mwiko) itakuwaje!?
Naona hakuna aliyeweza kujibu ili fumbo, nawasikitikia hawa dot com generation...!Tokea dunia iumbwe, yeye anakula kila siku lakini hashibi na hatashiba...!
inaonyesha Swali lako ni gumu hahahahahahahahahNaona hakuna aliyeweza kujibu ili fumbo, nawasikitikia hawa dot com generation...!