Kitendawili siku ya mwana.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili siku ya mwana....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, May 31, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana wawili kijiweni walikuwa wanateta jambo, mmoja akionekana kukerwa na jambo furani, akaanza...
  Mkuu leo ile ngozi imenigharimu sana, babake nikaenda kati hamna ukuta, pembeni kulia uterezi tu,kushoto nako kipingamizi hamna, dah nikasita kidogo, nikajaribu juu hamna kitu, chini nako shaa tu...nikaona hapa haiwezekani....
  Mwingine kadakia...vipi mwanhuzi nako mterezo au? Jamaaa kasema, sikuamini matumizi yangu mzee, nilipiga huko pia tayari used lkn ilionekana kama mpya, used sana mzee...

  kweli mandugu hapa nilitoka mtupu leo...naomba tu mwenye kujua nini kilikuwa kinaongelewa hapoa amwage ili kunisaidia na wengi wetu hapa.....

  wenu wa mangu....
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Du!
  "Meti Onyo!"
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  poti vipi tena...hata wewe umetoka kapa? ngoja tuone wazee JF watatusaidia tuu...
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahhhh
  hawaongelei nanilii kweli hawa..
  mmmmmhhhhhhh
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  AD nawewe bibie dah unazidi kuuua tu...nanihii ndo nini sasa?

  haya yaweza kuwa kianzio kizuri cha uteguzi wa kitendawili.............
   
 6. m

  menny terry Senior Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  dah! i think wanazungumzia Dawasco! Madem wengi siku hiz hadi DAWASCO napo ni used.hahaaa mambo ya majitaka hayo.!
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dawasco tena mhhhhhhhhhhhhhhhh...mimi simo sio tigo tena siku hizi
   
 8. k

  kazuramimba Senior Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  makubwa madogo yananafuu!!
   
Loading...