Kitendawili kilichonishinda!

Lakini Mwanaume huyo huyo anaekutunza wwe kwa kila kitu,anashindwa kumtunza Mama yake Mzazi kwa kila kitu!! Hilo wwe Kama Mwanamke unalizungumziaje!??
 
hahahahaha
 
Maisha ni yako
 
Acha kufafua brand mkuu tangu lini wanaume tukaogopa wanawake ....siku nyingine sema wanaume hatuwataki wanawake wenye pesa ....sio wanaume tunawaogopa wanawake wenye pesa
 
Aina shida ukifa wewe mmoja Kwa maradhi wengine watajifunza through your death
 
Utatongoza tu nimekaa pale😂😂😂
 
Lakini Mwanaume huyo huyo anaekutunza wwe kwa kila kitu,anashindwa kumtunza Mama yake Mzazi kwa kila kitu!! Hilo wwe Kama Mwanamke unalizungumziaje!??

Una maana kunitunza mimi ndio kutakua kunamzuia kumtunza mama yake mzazi?
Na Usisahau Mke wako na wewe ni mwili mmoja
 
Hapa sasa umetupiga changa la macho[emoji23][emoji23][emoji23], mwanamke kwenye mahusiano hamfanyi maendeleo pamoja wala hahusiki kwenye wewe kujijenga hivyo ustawi wako kipindi cha mahusiano ni wako mwenyewe. Umtunze labda kwalipi[emoji23][emoji23], ngono, duh! Basi ndio maana jamii haiendelei. Tambua uhusiano ukijenga ufa, huna cha maana ulichofanikisha lakini sindoani. Msipoteze vijana, tutajenga taifa masikini linalojali ngono tu na mwishowe anguko la taifa.
 
Raha ya mwanamke umhudumie ili uwe na authority dhidi yake Sasa uhudumii alafu unataka kuwa na authority juu yake utafeli baada ya mda atakudharau
You can never have authority over anyone, binadamu si ng'ombe wala robot. Akiamua atafanya atakalo na wewe huwezi kumfanya chochote kwakuwa hamna sheria inayotaja hilo jambo, hata ndoani sheria hazipo hivyo. Mtu kukuheshimu haitokani na wewe kumhudumia sana[emoji23][emoji23], watu wamewadharau wazazi wao sembuse wewe mtu baki aliyekuona juzi. Akili mtu wangu, we toa kwasababu umependa ila sio useme authority [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Maadili ya mwanamke yanategemea sana akili za mwanaume
Ndio maana mliambiwa muishi nao kwa akili
Kwakizazi cha sasaivi hichi kitu hakiapply na hata uko nyuma bado ilikuwa na magumashi. Mwanamke hupata maadili kutoka kwa wazazi, pia mwanamke huyohuyo ameshapitia mahusiano na zaidi ya wanaume watatu, hivyo unataka kuniambia atategemea akili za wanaume watatu hata yule ambaye alikuwa mhuni mwenzake. Chakushangaza mnasema mwanamke ni binadamu kamili sawa na mwanaume sasa binadamu mwenzako sawa akupe akili yako, wewe huna inamaana[emoji23][emoji23][emoji23]. Mkiwa mmetelekezwa huku mnawatoto, hapo napo mnaikubali akili ya uyo mwanaume na kuitumia. [emoji23][emoji23][emoji23] wanawake mnavituko
 
Uki date na mwanamke asiyejielewa huna bahati..! Usitafute mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…