Ndio utulie bila kumsumbua binti yao kwamba unamtakaWakuhudumie hao wazazi wako,
Tatizo la wanawake wenye kipato Wanaume hawawataki sbabu huwez kuwa na authority na mwanamke ambaye Yuko financial stable mtakua mnashindana kila kukichaHii ni fahari ya kijinga sana. Nilishaacha kutoka na demu mwenye kunuka shida
Acha kabisa mkuu me najionaga na bahati iyo maana wanawake karibia wote niliodate nao ni watu ambao hawataki kabisa niwahudumie hata kidogo na kila nikimuhitaji kimwili akija yeye atataka nauli tu pekee tena kamili nikimzidishia anasema hiyo nitunze nikimuoa ntampa[emoji16][emoji16][emoji16].Duh! Hongera zako
Nikishampa mdada elf 20, elf 5 aende kuhonga mwanaume mwingine, anaepewa papuchi ya bure, we vipi, mjini hapa mama DAkiomba elfu2 mpe elfu20
Sasa vocha kua inatoka wapi inahusiana vipi na kujibu sms..yani hata bando unataka uungiwe...π€£π€£π€£Sasa wewe kwanini u date nae na unajua Hana uwezo huu
Imagine unadate na mdada katoka kumaliza shule yupo tu kwao hana Kaziiii yoyote unategemea atoe wapi vocha
Ukitaka usiombwe vihela kama hivyo tafuta mdada ambae tayari ana kazi yake.. hata hivyo kama hutoi hela yoyote kama ni mimi siwezi kujibu hata sms yako ili unipate lazima uniunge bando uwezi kunichosha kuchat na wewe wakati hujui vocha natoa wapi
Tafadhali waambie wanaume wenzio mkienda kwenye vile vikao vyenu mkuu. Nakupenda bila kuhudumia ni bure. Nawasilisha mamamzungu
Maisha ni yako.Kelsea Beesmom mama D Aidanna sophy27 Demi Darlin kama sahiv nimeshaacha kabisa mambo ya kutongoza wanawake, maana wengi wao nawaona ni hasara Na michosho tu kwenye maisha yangu, Tangu mwaka huu umeanza nimemtongoza mdada mmoja tu kimapenzi, mwaka kesho sina mpango wa kutongoza mdada hata mmoja. Nikikutana na wadada hapa mtaani mi nakula buyu tu.
(N.B mm ni mwanaume straight tena Rijali)
Nitanunua kahaba Wanaojiuza barabarani nipige mzigo, nyege zikinizidi
Ni kweli tunatafuta ila malengo tunatofautiana, kila mtu na lengo lake mtawafaidi wenye malengo ya kula mbusysu tofauti tofauti kinyume na hapo ni KIBUTI tuWanaume ni majasiri na hawalalamiki wala kuogopa majukumu sababu wanatafuta
Mimi kama kibuzi cha ufichoni, mume namba 3 namuachia mume namba moja na namba mbili jamno dogo kama hili, wakishimdwa kusanya virago vyako uhamie kwangu niwe natatua mambo kama hayo..
π π π Huyo wa kwanza kagoma, we msome hapo juu, nimempa talaka tayari.Mimi kama kibuzi cha ufichoni, mume namba 3 namuachia mume namba moja na namba mbili jamno dogo kama hili, wakishimdwa kusanya virago vyako uhamie kwangu niwe natatua mambo kama hayo..
Poverty mindsetUsilalamike tafuta pesa
Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
Ndo hao anaowasemea. Wote ambao has nothing to offer than sexInategemea una date na wanawake gani
Mkuu acha udangaji utakuja kunishukuruBasi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
Mdangaji mwingine huyuSasa wewe kwanini u date nae na unajua Hana uwezo huu
Imagine unadate na mdada katoka kumaliza shule yupo tu kwao hana Kaziiii yoyote unategemea atoe wapi vocha
Ukitaka usiombwe vihela kama hivyo tafuta mdada ambae tayari ana kazi yake.. hata hivyo kama hutoi hela yoyote kama ni mimi siwezi kujibu hata sms yako ili unipate lazima uniunge bando uwezi kunichosha kuchat na wewe wakati hujui vocha natoa wapi
Mila za ******* hizoMila zinatofautiana mzee sisi watu wa Pwani kawaida sana kumtunza ila sio kimada.Hata mkeo anafanya kazi bank we unauza mkaa utahusika kununua hata vocha yake....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ya mtandao gani fundi mkuu wangu? Voda, tigo, Airtel, halotel, zantel, smile......
Mdangaji mzuri uyo anajulikanaAcha kujidanganya hio mentality ndio inayowaponza mkianza kunyanyaswa mnakimbilia dawati la jinsia kumbe mmejirahisisha, nachelea kuamini kwamba na wewe upo kwenye kundi hilo
Dogo usipende kitonga utakufa mapema sana. Hao majini yanatumia nyota yako bila wewe kujijua .Acha kabisa mkuu me najionaga na bahati iyo maana wanawake karibia wote niliodate nao ni watu ambao hawataki kabisa niwahudumie hata kidogo na kila nikimuhitaji kimwili akija yeye atataka nauli tu pekee tena kamili nikimzidishia anasema hiyo nitunze nikimuoa ntampa[emoji16][emoji16][emoji16].
Ila wote tumeachana japo mawasiliano tunaendeleza na nikiwaforce kuchachua kidogo wanakunjua moyo.
Basi mtoto mzuri kusanya kila kilicho kuwa YOURS ππ€£, halafu utimbe huku mamiloo.π π π Huyo wa kwanza kagoma, we msome hapo juu, nimempa talaka tayari.
Wa pili Mshana Jr kaupita huu uzi kama hauoni vile.