Kitela Lodge and African Spa, Karatu

Kitela Lodge and African Spa, Karatu

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
[h=1] [/h]
Kitela Lodge is a small, exclusive lodge situated on top of a valley overlooking a coffee plantation, the Eastern wall of the Ngorongoro crater and a beautiful waterfall. It consists of 20 spacious suites in cottages built in the style of an old colonial farm offering guests a relaxing, quiet atmosphere surrounded by beautiful gardens. Includes pool and African SPA.

ROOM CONFIGURATION
20 Large Suites with Bathrooms; Interconnected Rooms: 4; King Beds: 9; Triple Rooms with 3 Beds: 3
Twin Beds: 20

Mkuu, Weka list ya bei na jinsi gani rahisi ya kufika.
 
Cjui ntataenda lin, maana haya mambo nayaona sana kwe picha, ila sio kesi
 
Mkuu nimeshafika hapo nadhani hiyo lodge inamilikiwa na Kaburu chokoraa wa zamani wa mitaa ya Sanawari siku hizi ni tajiri wa haja anazo camps kibao kuanzia Serengeti,Manyara,Tarangire na Ngorongoro bila kusahau Kibo Guides Safaris.
 
Mkuu Karatu kuna Lodge za haja ushafanukiwa kufika kudu Lodge?Na ninachopends Lodge karibia zote zinamilikiwa na wazawa
 
Mkuu ni kweli Karatu imepiga hatua sana katika sekta ya utalii kuna lodges nzuri sana ndiyo maana hata usafiri kati ya Karatu na Arusha mpaka Dar ni rahisi yapo mabus ya kampuni kama Dar Express,Sai Baba .....

Mkuu Karatu kuna Lodge za haja ushafanukiwa kufika kudu Lodge?Na ninachopends Lodge karibia zote zinamilikiwa na wazawa
 
Hii ni Kudu Lodges nayo ipo mitaa ya Karatu nyumba kwa Dr W Slaa.

hbell.jpg
4519489_17_b.jpg
 
Mkuu nimeshafika hapo nadhani hiyo lodge inamilikiwa na Kaburu chokoraa wa zamani wa mitaa ya Sanawari siku hizi ni tajiri wa haja anazo camps kibao kuanzia Serengeti,Manyara,Tarangire na Ngorongoro bila kusahau Kibo Guides Safaris.

Yule Kaburu wa Kibo right?? Si yule mu-Boss anaerekebisha gari yake mwenyewe.

Ni kirenga mbaya
 
Haswaa huyu jamaa kazaliwa Sanawari ya chini miaka hiyo sisi tunasoma alikuwa akijishughulisha na kazi za kukodisha baskeli,kuuza mkaa na ujanja ujanja wa mjini.Ni chotara Mama yake Mchagga na Baba mzungu asiyejulikana kabisa.Nadhani uchotara wake ulimsaidia kupendwa na wazungu ambao walimpeleka ulaya kama sikosei Australia aliporejea Tanzania akaanzisha biashara ya kubadilisha fedha na utalii.Sasa ni kirenga wa kutupwa Kibo Guides Safaris ina Land Cruiser kama 80 Land Rover Puma za kutosha bado heavy trucks.Ninapozungumzia L/C nina maana hizi mpya huku Arusha wanaziita machopanzi HZJ 76 zilirefushwa na wataalamu wa ukweli Rajinder motors ya Moshi.Hawa Rajinder wana order za kutengeza L//C toka Kenya,Uganda,Dubai ........

Yule Kaburu wa Kibo right?? Si yule mu-Boss anaerekebisha gari yake mwenyewe.

Ni kirenga mbaya
 
Back
Top Bottom