Kwenye upishi shida yetu wengi ni muda. Tunadhani hatuwezi kupika kwa sababu tuko busy etc. Ili kuweza kupika vizuri na haraka unahitaji haya:
1 wekeza kwenye gadgets. Jiko zuri, kisu kikali (hii ni must kwangu), sijui peeler, veggie chopper, dough maker, pressure cooker etc.
2 vitunguu swaumu nunua vingi, menya na kutwanga na chumvi kisha weka kwenye chupa ya kioo ambayo inafunga tightly. Chupa iliyokuwa na mayonnaise inafaa zaidi
3nunua green groceries kwa wingi na osha zote na kukausha maji (unaweza kuzilaza kwenye strainer hadi asubuhi) kisha panga kwenye friji. Wakati wa kupika ukishaosha mikono yako huhitaji kuosha kila kitu upya. You chop and throw into the steaming pot
4mi napenda nazi ya kiswahili. Nunua nazi nyingi kama zinapatikana ulipo. Kuna zote zikiwa fresh na weka kwenye freezer kwa kugawa portions ndogo. Unaweza kutumia film ya kufunikia chakula ama mifuko laini
Habari zenu...
Leo nimepata wzo:lets share tricks za jikoni,hope kila mtu ana za kwako....
Ntaanza mimi lol....
#1 ) jinsi ya kutumia mdalasini (cinamon) kuondoa harufu mbaya jikoni.....mfano shombo la samaki,au umepika chakula kimetoa harufu mbaya....
Namna ya kuutumia huo mdalasini....
Wakati unapika mfano unakaanga samaki..katika jiko jengine unaweka maji kiasi then mdalasin unaacha inachemka...
Au kama una jiko moja waweza malizia kupika then ukafanya hiyo process ya kuondoa maharufu.....
Wengi wetu hutamani kula chakula flani lakini tunashindwa kuvipika kwasababu tu vinaacha harufu mbaya ndani ya nyuma....
So trick ni hiyo.....lets enjoy kila kupika kila tupendacho hata kama vina harufu...

Thank you mamii, I didnt knw this! wakina cc hua tunasubiria kuchoma ubani ama udii:happy:
Harufu mie ambazo zinaniudhi sana ni za samaki wa kukaanga na sambusa. Katika baadhi ya nchi wanunuzi wa nyumba hawataki kabisa kununua nyumba zilizokuwa za wahindi kwa sababu ya harufu kali katika nyumba hizo zinazosababishwa na mapishi mbali mbali ya kihindi wanadai harufu hizo huwa ni kero kubwa kwa wanunuzi ambao si wahindi. Na realtors nadhani hushauri namna ya kupambana na harufu hizo ili wanunuzi wanaokuja kuiangalia nyumba wasishtukie harufu hiyo. Ahsante sana farkhina.

Yaani nyumba za Wahindi ni kunuka curry mwanzo mwisho!
Halafu wale watu sijui kwao kupaka deodorant ni mwiko ama vipi maana vikwapa vyao huwa vinatema balaa.
Nadhani zile curry wanazokula huwa zinachagiza zaidi hiyo harufu. Usiombe upangiwe seat moja na Mhindi kwenye long haul flight. Utajuta.
Au usiombe uende gym halafu Mhindi apite karibu yako. Mzuka wote wa mazoezi lazima utakufa papo hapo.
Afadhali ya wahinndi jamani..jirani zangu wa ghana subhanallah wanapika samaki wananuka hao kuliko walooza na hiyo harufu yake yote inakuja kwangu kama mie ndio nimepika..
Na siwezi harufu mbaya basi hutapika.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Oh yeah Waghana nao huwa wana samaki flani hivi wakukaushwa...aisee wananuka vibaya sana. Sasa ukute wanayapika hayo masamaki yao na ile mi fufu...majanga.
Wachina pia wana vyakula vyao ila sijui majumbani mwao harufu ya huko, wanapenda sana kuja na vyakula maofisini basi wakianza kupasha moto ile harufu watu huikimbia ofisi dah!!!!! Sijui ndio nyama ya mbwa au ni kitu gani cha harufu mbaya kiasi hicho, halafu si ajabu wenyewe wanaona kinanukia 🙂🙂. Mie hata kwenda kula kwenye hotel za Wachina nimeshindwa huwa siwezi kabisa kuvumilia harufu iliyomo ambayo hunikera sana, pia kwenye maduka yao ya vyakula huingia nakutoka tena kwa kulazimishwa nimsaidie mtu kuchagua/kutafuta kitu. Miezi michache iliyopita nikazikuta karanga mbichi tena fresh kabisa ikabidi nizikague kwa kina kabla ya kuamua kuzinunua au la, nilizibeba lundo hahahahahaha lol!!!! Maana mie karanga mbichi nazipenda sana.
Mie pia nazipenda ila huwa naichoma kwenye oven kidogo.....then natengeneza tende na maziwa na hizo karanga nasaga kwa blenda then nakunywa tamu sana alafu very healthy....
Malizia na ile halafu nyingine, lol
Habari zenu...
Leo nimepata wzo:lets share tricks za jikoni,hope kila mtu ana za kwako....
Ntaanza mimi lol....
#1 ) jinsi ya kutumia mdalasini (cinamon) kuondoa harufu mbaya jikoni.....mfano shombo la samaki,au umepika chakula kimetoa harufu mbaya....
Namna ya kuutumia huo mdalasini....
Wakati unapika mfano unakaanga samaki..katika jiko jengine unaweka maji kiasi then mdalasin unaacha inachemka...
Au kama una jiko moja waweza malizia kupika then ukafanya hiyo process ya kuondoa maharufu.....
Wengi wetu hutamani kula chakula flani lakini tunashindwa kuvipika kwasababu tu vinaacha harufu mbaya ndani ya nyuma....
So trick ni hiyo.....lets enjoy kila kupika kila tupendacho hata kama vina harufu...
Hapo no 2....waweza saga vitunguu pamoja na giligilini (coriander) then ukahifadhi ndani ya friji....
Kwa vile giligilani zinaharibika mapema so hapo utakua umeshaihifadhi vizuri ili kuepuka kutupa na kununua nyengine...
Kuna shost wangu mmoja alinifahamisha, kusaga ivo vitu kwa kutumia na mafuta ya olive oil badala ya maji. Then unahifadhi kwenye chupa ya kigae km ya tang. Unaweka kwenye fridge.
In last longer than unapoweka maji. Na harufu haibadiliki.