WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
- Thread starter
-
- #61
Nini kilicho asilimia mia? Hata DNA ya mzazi na mtoto haiko asilimia mia...sasa itakuwaje maneno yangu ninayoyatoa kwenye mtandao kama Julius (jina bandia) aka Nyani Ngabu yawe ya uhakika kwa asilimia mia?
umeeleweka...Huwezi kumkuta mtu aliyeelimika kama Mama Migiro akimfanyia bintiye huu ujinga ujinga. Hata wanawake wale wanaofagilia huu upuuzi ukiangalia elimu zao ndi ndogo sana.
Nyambaaaf kabisa...
Aisee unaonekana ujakanyaga bongo muda mrefu sana. Njoo bana uone unaowaita wasomi walivyo mtari wa mbele kwenye hii shughuli..
Hiki:
umeeleweka...
Hehehehe...unajuaje hivi sasa sipo bongo? Hebu njoo hapa Imalaseko tupige stori...au usharudi?
Unazungumzia Imalaseko supermarket? Sasa hivi saa 5 kasoro usiku. Imalaseko ya wapi hiyo ambayo iko open mpaka sasa hivi.
Unazidi kudhihirisha...
Of kozi najua ni muda gani sasa hivi...wewe njoo panda juu pale utanikuta. Supermarket si iko chini...
Of kozi najua ni muda gani sasa hivi...wewe njoo panda juu pale utanikuta. Supermarket si iko chini...
check dirishani, uwt weshazingira jengo!! lol
Poa naja babu... maana najua uwapo wewe hapakosi neema (no pun intended)
Hahahahaha....mbona siwaoni bana....
Ndugu yangu
unavyojisikia ndivyo nami najisikia...... mambo yamekuwa diluted mno hadi kukosa ladha na maana.
Hiki tunachojadili ni darasa la introduction.Full programme baadae.
ni mtizamo tu.... Wako wengi wanaolewa bila KPVera,
Naona sasa tunataka kwenda mbali. Una maana kuwa kuna mtu anafikisha umri wa kuolewa bila uelewa wa mambo ya msingi kama hayo mnayoongelea? Siamini kama kuna binti atakuwa hajui kufanya usafi wake mwenyewe na nyumba yake ili aje kuparazwa parazwa kwenye KP ya masaa 2 tu! My wife wangu hakufanyiwa KP na sijaona kitu anachopungukiwa. Kama KP zingekuwa zinaandaliwa kwa maana ile ya asili (mfano wa unyago) nisingekuwa na tatizo. Ila hizi za sasa zimejaa uswahili swahili na tabia ya kutumia pesa hovyo. Misifa mingi tu!
ni mtizamo tu.... Wako wengi wanaolewa bila KP
Nadhani hujanielewa ndugu yangu..sina maana kuanzisha KP nyingine... im still thinking through.... nitakushirikisha wakati ukifika.Sasa mbona unataka kujiingiza kwenye mtego wa kuanzisha darasa mbadala wa KP? Ningeshauri kama una kitu basi andika kitabu. Nitakuwa tayari kukusaidia kuhariri. Ila kuanza kitu kingine kama KP kunaweza kulete KPxKP na mwisho wake ukawa matatizo zaidi!
Nadhani hujanielewa ndugu yangu..sina maana kuanzisha KP nyingine... im still thinking through.... nitakushirikisha wakati ukifika.
unahanngaika na nini dada? Hebu nenda moja kwa moja kwenye mambo ya msingi. Kuna upungufu wa taarifa na kuna watu wanahitaji hizo taaria na maarifa kwa ajili ya kujiandaa na maisha ya ndoa. Kama hizo taarifa unazo kwa nini unapoteza muda? Andika kitabu. Faida zake ni nyingi na kitatumiwa na wengi. Na shule itakayokuwemo itakuwa haina upotoshaji kama huo wa kiswahili na kurusha roho! unaonaje?
Unahanngaika na nini dada? Hebu nenda moja kwa moja kwenye mambo ya msingi. Kuna upungufu wa taarifa na kuna watu wanahitaji hizo taaria na maarifa kwa ajili ya kujiandaa na maisha ya ndoa. Kama hizo taarifa unazo kwa nini unapoteza muda? Andika kitabu. Faida zake ni nyingi na kitatumiwa na wengi. Na shule itakayokuwemo itakuwa haina upotoshaji kama huo wa kiswahili na kurusha roho! Unaonaje?
Huu ni uswahili swahili (whatever the hell that means) tu na elimu ndogo. Huwezi kumkuta mtu aliyeelimika kama Mama Migiro akimfanyia bintiye huu ujinga ujinga. Hata wanawake wale wanaofagilia huu upuuzi ukiangalia elimu zao ndi ndogo sana.
Nyambaaaf kabisa...
SteveD;608898]I disagree. Kuandika vitabu is not a panacea to society ills. Some problem ought be dealt with in an unconventional manner. How many books are there documenting society shortfalls and how many do offer solutions to these problems? Would you expect each and everyone to take it to the library in order to solve them?
Workshops, seminars, conferences, KP and any other aspect of live engagement with audience sometimes has more bearing to concerned part than knowledge acquired through literature.
Great, that's your position. It doesn't have to be the same to mine. I still suggest to Vera to put her ideas in a book.
If in particular those three were working, TZ would have solved all of its problems. I bet we might hold a world record in the Guinness Book for holding such useless fora. Hope you are not suggesting other loopholes for more per diems and sitting allowances!!