Wana JF, ninataka kuweka vitasa vya mlango katika nyumba yangu. Naomba mnisaidie, vitasa gani ni bora na imara? Pia kama bei yake inafahamika, ni vizuri ikawekwa hadharani.
Nipo Katavi, ninategemea kwenda Dar hivi karibuni na ninaweza kuvinunua nitakapokuwa huko.

kipi kilicho bora kati ya hivyo!Union kinauzwa arround 50,000
Orlando kinauzwa arround 50,000
Huku Dar mafuriko usije.
Union kinauzwa arround 50,000
Orlando kinauzwa arround 50,000
Vitasa vizuri ni vya Union.
Lakini hakikisha unanunua Union 'original' vya UK.
Kuwa makini usije 'ukababatizwa' na vitasa vya Union feki.
Mbona hata hapa Katavi vipo!!! sio lazima uende Dar! Kitasa kinaitwa YALE kutoka UK. vinaanzia sh.Elfu Arobaini mpaka Laki tisa. Dar kuna mafuriko. kama unafananisha tu piga simu uulize bei huko lakini tofauti ni sh Elfu tano tu.