Kitasa gani cha mlango ni bora?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Wana JF, ninataka kuweka vitasa vya mlango katika nyumba yangu. Naomba mnisaidie, vitasa gani ni bora na imara? Pia kama bei yake inafahamika, ni vizuri ikawekwa hadharani.

Nipo Katavi, ninategemea kwenda Dar hivi karibuni na ninaweza kuvinunua nitakapokuwa huko.
 
Ngoja tumuulize Katavi
 
Last edited by a moderator:
Wana JF, ninataka kuweka vitasa vya mlango katika nyumba yangu. Naomba mnisaidie, vitasa gani ni bora na imara? Pia kama bei yake inafahamika, ni vizuri ikawekwa hadharani.

Nipo Katavi, ninategemea kwenda Dar hivi karibuni na ninaweza kuvinunua nitakapokuwa huko.

Mbona hata hapa Katavi vipo!!! sio lazima uende Dar! Kitasa kinaitwa YALE kutoka UK. vinaanzia sh.Elfu Arobaini mpaka Laki tisa. Dar kuna mafuriko. kama unafananisha tu piga simu uulize bei huko lakini tofauti ni sh Elfu tano tu.
 
Vitasa vizuri ni vya Union.

Lakini hakikisha unanunua Union 'original' vya UK.

Kuwa makini usije 'ukababatizwa' na vitasa vya Union feki.
 
John Terry!
 
Hafele made in Germany. Yale from USA, Union orginal from assa abloy. Vipo mwenge world cinema (hafele) na njia ya kwenda ITV (union & yale)
 
Vitasa vizuri ni vya Union.

Lakini hakikisha unanunua Union 'original' vya UK.

Kuwa makini usije 'ukababatizwa' na vitasa vya Union feki.

Anaishi KATAVI!! anahitaji sana mwongozo wa kutambua vitu original!!.. huyu si wa kutajiwa aina tuu ya vitasa, anahitaji pia elimu ya utambuzi!!...
 
Mbona hata hapa Katavi vipo!!! sio lazima uende Dar! Kitasa kinaitwa YALE kutoka UK. vinaanzia sh.Elfu Arobaini mpaka Laki tisa. Dar kuna mafuriko. kama unafananisha tu piga simu uulize bei huko lakini tofauti ni sh Elfu tano tu.

Ni wachache wafanya biashara kuchukua bidhaa kutoka UK, kuna bidhaa zinatoka Malaysia zina bendera ya UK na sio za UK, mimi kawaida yangu kununua vitu vya ujenzi hasa vya umeme na kuleta zanzibar, iwe used au new, huwa napata soko chap chap, alaa sikujua vitasa bei kali kama hivyo ngoja mara hii nivichukue kwenye minada yangu,
Ahsante kwa kunijuza
 
Vitasa vizuri ni vya Union.

Lakini hakikisha unanunua Union 'original' vya UK.

Kuwa makini usije 'ukababatizwa' na vitasa vya Union feki.

Union kinauzwa arround 50,000

Orlando kinauzwa arround 50,000

Mbona hata hapa Katavi vipo!!! sio lazima uende Dar! Kitasa kinaitwa YALE kutoka UK. vinaanzia sh.Elfu Arobaini mpaka Laki tisa. Dar kuna mafuriko. kama unafananisha tu piga simu uulize bei huko lakini tofauti ni sh Elfu tano tu.

Munaweza kunipa bei za hii rcd please? Nimenunua hapa UK, nataka kujua bei ya nyumbani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom