Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
naenda G.E.P.F
Haya mang'ana ..........!!!
Haya mang'ana ..........!!!
Huu mfuko ni genge la wahuni wanautumia kwa manufaa yao bila watanzania/wanachama kujua.Malengo ya mfuko ni mazuri ila unaendeshwa kiutapeli zaidi.
MMM alishawahi kutoa thread za kutosha kuhusu huu mfuko unakoelekea .Wasiwasi wangu mimi;Ni kwa nini mfuko huu unafanya kazi kama Investment Bank bila ridhaa ya wanachama?.
kuna habari nimezipata kutoka mtu wa ndani NSSF kuwa pesa zetu zimeliwa zote na serikali sasa wanakuja kutunga sheria mpya mwezi wa saba bungeni kuwa mwanacha hutapewa pesa zake mpaka utakapostaafu.mimi nadhani kwa wale wanachama wa NSSF na mifuko mingine ya jamii tutakuja kulia kama wazee wa africa mashariki tusipokuwa makini na hii serekali,
naomba kuwasilisha
source ---nssf
hooo tuchague viongozi kutoka mabila madogo. sifa hii ni mbaya maana tunapata viongozi dhaifu wasio na uwezo. tuache kubagua makabila makubwa tuangalie uwezo wa kusukuma mbele maendeleo. taswira hii mbovu ya uongozi ndio inayotufanya tushindwe kupata angalau watru 11 kutetea taifa letu ktk nyanja ya soka.Niligundua hii ishu ya mashirika ya umma kuishiwa/kupungukiwa uwezo wa kifedha, pale serikali ya JK ilipoanza kutapata kwenda kukopa ela kwenye commercial banks.
kuna habari nimezipata kutoka mtu wa ndani NSSF kuwa pesa zetu zimeliwa zote na serikali sasa wanakuja kutunga sheria mpya mwezi wa saba bungeni kuwa mwanacha hutapewa pesa zake mpaka utakapostaafu.mimi nadhani kwa wale wanachama wa NSSF na mifuko mingine ya jamii tutakuja kulia kama wazee wa africa mashariki tusipokuwa makini na hii serekali,
naomba kuwasilisha
source ---nssf
Mkuu mbona hii kitu imeshakua overtaken na events on the ground.
Bunge la Aprili 2012, kabla ya hoja nzito iliyotikisa bunge ya kutokua na imani na WM, wabunge walipitisha mabadiliko ya sheria ya usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii( na hapa inamaanisha mifuko yote sita) NSSF, PPF, PSPF, LAPF, GEPF,NHIF.
Moja ya vipengele vya hayo marekebisho, ni kuzuia mwanachama kuchukua pesa zake au kuwithdraw membership kabla ya kufikisha umri wa miaka 55.
Ingawa kuna uwezekano wa sehemu ya michango yake (50%) ikatumika kama dhamana pale anapotaka kukopa kwa shughuli za ujenzi tu.
Kwa hiyo mabadiliko haya yatacut across the whole sector ya hifadhi ya jamii(yaani mifuko yote) sio confined kwa NSSF peke yake.
Hivyo basi mkuu wa kaya akishatia sign yake kwenye muswada na kuwa sheria. Mambo ya kuvuta kilicho chako ndo itakua hadithi, may be uwe tayari na 55yrs.
tatizo siyo kabila ila ni udhaifu wa mtu binafsi, mbona Mkapa ni kutoka kabila dogo na aliweza kujenga uchumi na kaondoka kaacha hadhina ikiwa na pesa za kutosha tu.hooo tuchague viongozi kutoka mabila madogo. sifa hii ni mbaya maana tunapata viongozi dhaifu wasio na uwezo. tuache kubagua makabila makubwa tuangalie uwezo wa kusukuma mbele maendeleo. taswira hii mbovu ya uongozi ndio inayotufanya tushindwe kupata angalau watru 11 kutetea taifa letu ktk nyanja ya soka.
Mkuu mbona hii kitu imeshakua overtaken na events on the ground.
Bunge la Aprili 2012, kabla ya hoja nzito iliyotikisa bunge ya kutokua na imani na WM, wabunge walipitisha mabadiliko ya sheria ya usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii( na hapa inamaanisha mifuko yote sita) NSSF, PPF, PSPF, LAPF, GEPF,NHIF.
Moja ya vipengele vya hayo marekebisho, ni kuzuia mwanachama kuchukua pesa zake au kuwithdraw membership kabla ya kufikisha umri wa miaka 55.
Ingawa kuna uwezekano wa sehemu ya michango yake (50%) ikatumika kama dhamana pale anapotaka kukopa kwa shughuli za ujenzi tu.
hooo tuchague viongozi kutoka makabila madogo. sifa hii ni mbaya maana tunapata viongozi dhaifu wasio na uwezo. tuache kubagua makabila makubwa tuangalie uwezo wa kusukuma mbele maendeleo. taswira hii mbovu ya uongozi ndio inayotufanya tushindwe kupata angalau watru 11 kutetea taifa letu ktk nyanja ya soka.
safari rais lazima kabila kubwa
Kwa hiyo mabadiliko haya yatacut across the whole sector ya hifadhi ya jamii(yaani mifuko yote) sio confined kwa NSSF peke yake.
Hivyo basi mkuu wa kaya akishatia sign yake kwenye muswada na kuwa sheria. Mambo ya kuvuta kilicho chako ndo itakua hadithi, may be uwe tayari na 55yrs.
It was only a matter of time NSSF wangekumbana na ukuta wa ukweli. Uwekezaji wa NSSF ni mbovu sana na umeegemea siasa. Lakini tatizo kubwa ambalo wamekuwa wanafumbia macho ni ukweli kuwa sasa NSSF ni fully fledged Pension na sio Provident Fund.
Zamani NSSF ilikuwa Provident Fund (NPF) na taratibu za kuendesha NPF ni tofauti, mtu akistaafu unampa hela zake hapo hapo. Lakini kama ni Pension maana yake utamlipa kiasi hapo hapo na bado utalazimika kumlipa kiasi fulani kila mwezi mpaka afe. Sasa tangu NSSF itoke kwenye NPF si muda mrefu na hawakuwa na mzigo mkubwa wa kulipa wastaafu mpaka wafe, but with time ile idadi inaongezeka wakati huo huo hela ndio kama hivyo wamekewekeza kwenye miradi tata na mingine ni ya kisiasa hivyo kulipwa ni tabu (ref report ya CAG).
Ninavyofahamu mimi kwa sasa kuna mfuko mmoja tu ambao uko 'solvent' - ni PPF. Pamoja na mapungufu yao lakini hawa wana uwezo wa kubeba mzigo wao wa 'pension' na hata uwekezaji wao sio wa kasi kama NSSF. Mifuko mingine kama LAPF, PSPF nao wana matatizo makubwa maana wamekopesha/wekeza na muda wa waastafu unanyemelea! Siasa nyingi.
kuna habari nimezipata kutoka mtu wa ndani NSSF kuwa pesa zetu zimeliwa zote na serikali sasa wanakuja kutunga sheria mpya mwezi wa saba bungeni kuwa mwanacha hutapewa pesa zake mpaka utakapostaafu.mimi nadhani kwa wale wanachama wa NSSF na mifuko mingine ya jamii tutakuja kulia kama wazee wa africa mashariki tusipokuwa makini na hii serekali,
naomba kuwasilisha
source ---nssf
Hakika tunaweza kusema ni kitanzi kwa wafanyakazi masikini wa Tanzania.Habari za kuaminika kutoka wizara ya fedha na mifuko mbalimbali ya kijamii zinasema serikali inajiandaa kupeleka mswada bungeni katika bunge lijalo kwamba ni sharti ufikishe miaka 55 ndipo uweze kupata mafao yako.
Kwa hivi sasa kama mfanyakazi ataacha kazi katika makampuni mbalimbali binafsi anaweza kupata pensheni yake ndani ya miezi sita.Hali ni hiyohiyo kama mfanyakazi ni mgonjwa anahitaji matibabu basi aweza kupata mafao yake.
Lakini kwa mswada huu mpya unaotarajiwa ukipitishwa mfanyakazi yeyote katika makampuni na mashirika mbalimbali hataweza tena kupata mafao yake hata kama ameacha kazi mpaka atakapofikisha miaka hiyo 55.
Habari zaidi zinasema mifuko hii ya kijamii hasa NSSF yamewekeza katika miradi mikubwa isiyo na faida na pia yamekuwa yakikopwa na serikali lakini inashindwa kulipa kwa wakati.Hali hii imesababisha fedha za wanachama kupukutika na njia pekee ya kuepuka aibu hii ni kuandaa mswada kama huu utakaoacha kilio kikuu kwa wafanyakazi nchini.