- Thread starter
- #41
Japokuwa hujaweka source lakini tetesi hizi zimezagaa sana. Ni mpango kamambe wa serikali kuwakomoa wanachi wake, tena walipa kodi wakubwa nchi hii. Hii ni sheria mbaya na ikipitishwa nitaamini nia thabiti ya serikali ya JK kuwaua wananchi wake. So pathetic!
Mkuu wangu mimi mwenyewe nilisikia tetesi hizi wiki iliyopita nikazipuuza.Kama mi kweli itakuwa ni sheria mbaya kuwahi kupitishwa nchini.