Kitandani

Missing you mooooooooooooooooore Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Aaaaah mi najiangusha tu mpaka morning
 
Habari
Wakati umelala kitandani hua unakumbatia nini?
1.pillow/mto
2.mwenzi wako
3.doll
4.kitabu cha imani
5.unajikumbatia mwenyewe...

Inategemea na siku ya wiki na gender:

Mwanaume kama mimi;
Jumatatu - Alhamisi: Pillow/mto pamoja na kujikumbatia mwenyewe

Ijumaa - Jumamosi: Mwenzi wangu (sisi singles huwa tunaoaga weekend)

Jumapili kuamkia Jumatatu: Kitabu cha imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…