Waaaooooooooooooooooooooh!!!!!!!
si huyo huyo Dena Amsi ananifuata fuata mie nimemwambia nina mke yeye kaniganda tu kama gundi sijui kwa kuwa siku kuu ipo karibu? my love Evelyn Salt love u saaana!!!!!!!!!!
Arushaone ongea taratibu nimemuona mke wangu Evelyn Salt anatuchungulia nisije tupiwa mashati yangu nje.
Mh!!!!!!
Hua nauminyaminya!
Swali jinginee ....
Habari
Wakati umelala kitandani hua unakumbatia nini?
1.pillow/mto
2.mwenzi wako
3.doll
4.kitabu cha imani
5.unajikumbatia mwenyewe...
wewe Mentor njoo tu mie nasafiri kidogo. ukifika mwambie Evelyn Salt ani dipu. sawa eee ?By the way naja leo..mdogo mdogo...
wewe Mentor njoo tu mie nasafiri kidogo. ukifika mwambie Evelyn Salt ani dipu. sawa eee ?
eti nani yako??????????By the way naja leo..mdogo mdogo...
we mkali,