Kitanda!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi wa mashuka yenyewe,Ghodoro liliopo Kitandani, sehemu kilipowekwa kitanda,Uimara wa kitanda, aina ya kitanda chenyewe,chandarua kilichotundikwa na jinsi kinavyochomekwa ni mambo muhimu sana kwenye saikolojia ya watu waliomo kwenye Mahusiano.

Ukiwa kitandani kitafakari KITANDA na nguvu yake kwenye mahusiano yenu!!
 
Ndugu yangu mimi kitanda changu teremka tukaze hayo ya uimara na sijui nini sidhani yanaapply hapo
 
I second you! ni sehemu nyeti inaweza fanya mmoja awe nervous kiasi cha kuvuruga mkanda mzima!
 
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi wa mashuka yenyewe,Ghodoro liliopo Kitandani, sehemu kilipowekwa kitanda,Uimara wa kitanda, aina ya kitanda chenyewe,chandarua kilichotundikwa na jinsi kinavyochomekwa ni mambo muhimu sana kwenye saikolojia ya watu waliomo kwenye Mahusiano.

Ukiwa kitandani kitafakari KITANDA na nguvu yake kwenye mahusiano yenu!!

Kwa kweli mi suala la Kitanda huwa silifikirii kabisa, maana naona kama haliniathiri sana. Hata kama hakijatandikwa mimi huwa siathiriki kabisa. Mara nyingi mama HorsePower ndo huwa anahangaika nacho. Muda mwingine huutumia kuelewa jinsi ya kuwaelewa hawa wenzetu wadada ingawa mpaka sasa, sijafanikiwa hata robo, loh!
 
Ndugu yangu mimi kitanda changu teremka tukaze hayo ya uimara na sijui nini sidhani yanaapply hapo

Hata kama ni teremka tukaze kinatakiwa kamba zake zinatakiwa ziwe zimekazwa vizuri sana. Kumbuka kwamba aina hii ya vitanda ndiyo inatumika sana maeneo ya India na Bangladesh. Kwa hiyo cha msingi kamba zikazwe ili msidumbukie katikati ya kitanda kwani italeta mtafaruku kidogo!!
 
sona tatizo na upambaji wa kitanda, usafi, mashuka nk....ila formula hii hainifai maana mie popote kambisio lazima kitandani ....mmmmh, kwa hiyo kitanda kina nafasi ndogo kwangu....
 
kitanda kweli kiboko yaani kila dizaini chenyewe kinabeba hasa ukikute ni six kwa six balaa tupu shuka white lazima uogope kulala mkuu..
 
Eti ni kweli kwamba mambo ya u-smart kwenye kitanda ni mambo ya wanawake, wanaume hayawahusu!?
 
KITANDA!!!!!!!!????????

Sijui, kama hakuna mapenzi ya kweli na kitanda kikiandaliwa vyema chaweza rudisha mahusiano

Lbada tukiweka masharti ianawezekana
 
Ndo jitu linapanda hapa na masoksi yana siku 4 hayajafuliwa!...huh!
kitanda.jpg
 
KITANDA!!!!!!!!????????

Sijui, kama hakuna mapenzi ya kweli na kitanda kikiandaliwa vyema chaweza rudisha mahusiano

Lbada tukiweka masharti ianawezekana
Inawezekana kabisa. Kama wawili hawaelewani (sababu isiwe kufumaniwa) na kitanda kikawa kinaandaliwa vizuri basi bila shaka mahusiano yataboreka kabisa!!
 
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi wa mashuka yenyewe,Ghodoro liliopo Kitandani, sehemu kilipowekwa kitanda,Uimara wa kitanda, aina ya kitanda chenyewe,chandarua kilichotundikwa na jinsi kinavyochomekwa ni mambo muhimu sana kwenye saikolojia ya watu waliomo kwenye Mahusiano.

Ukiwa kitandani kitafakari KITANDA na nguvu yake kwenye mahusiano yenu!!

Binafsi kitanda huwa kinanichanganya sana, nadhani hata wife hilo analifahamu vema maana nauona uwekezaji anaoufanya kitandani hasa kile ninachokitumia mimi na yeye.
 
Hata uwe na kitanda kizuri namna gani km hamna hisia za ndani na ufanisi katika huduma toka kwa hao wanaolala hapo ni kazi bure, Kwanza upendo/mapenzi halafu mengine yanafuata.
Wapo matajiri wenye kila kitu ndani lakini bado wanalazimika kwenda uswahilini kwenye vitanda vya banko na wanalala usingizi fofofo na kujisikia raha na hao wanaolala nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom