Habari MMU!!
Nina swali moja tu! Tuchukulie umeoa/kuolewa. Je, ni sahihi kutumia kitanda unachotumia na mke/mume wako pamoja na wageni endapo mwenza wako hayupo???
Kwa mfano tuseme wife/husband hayupo na umepata mgeni wa jinsia yako. Ni sahihi kulala naye kitanda kimoja unachotumia na mke/mume wako?
NB: Mgeni anaweza kuwa ndugu yako wa damu au swahiba wako wa karibu.
Tujadili!!!!!!!!

Una chumba kimoja tu? Kama una chumba kimoja tu nadhani si tatizo sana but kama una vyumba zaidi ya kimoja, basi si vyema na haistahili kulala na mgeni kwani chumba chenu wewe na mkeo kina heshima yake ati!!
waweza kuwa na vyumba zaidi ila kwa kumuonea aibu au kumpa kampani unamkaribisha kwa room yako na mwenza!!
hahahahaha nimecheka sana mkuu