Kitanda cha kamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitanda cha kamba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by GAMBLER, Dec 14, 2009.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa na kewe huwa wanalala kwenye kitanda cha kamba, watoto wanalala chini, siku moja jamaa alitaka kumpanda mkewe, mama akasema watoto bado hawajalala, jamaa akabisha ikabidi mama ampe.Alipoingiza chombo kikapitiliza pembeni kwenye tundu la kitanda cha kamba, jamaa akauliza; imeingia? Watoto wakajibu haijaingia hii huku chini....!  nini moral ya kisa hiki? toa mawazo yako
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,313
  Trophy Points: 280
  Kisa chenyewe kimekosa morality..hakuna cha kujifunza!
  Tangu lini double-decker ikawa ya kamba!??
  Turudishie change..
   
 3. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dah! inaonyesha wabongo na ngono tu.........
   
 4. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hawo wazazi si niafadhali wange binukiana chini sakafuni? Au chumba kimejaa kila kona, basi wangekuwa wanajiservia bafuni wakati wa kuoga!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,422
  Likes Received: 22,335
  Trophy Points: 280
  hicho nadhani ni kitendawili..
  unaonaje tukikupa mji?
   
 6. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  kumbe mkuu umeliona hilo, maana hata kwenye udaku na jokes napo ni ngono kwa kwenda mbele badala watu tupumzishie vichwa huku, duhh...tutafika kweli?
   
Loading...