Hii inatumika sana Uganda!! Kila inapopungua, wanaongeza maji ya moto mpaka mwishowe wanajikuta wanakunywa maji. Ikifikia stage hiyo, kila mmoja anaondoka kivyake...
Hizi fwefwe nzuri sana!!Ndo maana huwa napenda sana kwenda kijijini!kuna wakati unamix na bia kuiongeza makali.Ikipungua mnaongeza maji ya moto au kimpumu kingine!!mara nyingi tunaokunywa wote ni wataalamu hivyo mate hayabaki humo