hao ndio waha kutoka kigoma wako chuoni wameamua kukumbuka home. wanapiga kayoga hapo.
Lulindi hatuijui hii, ingefaa kuwafanyia demo pasaka ijayo.
hao ndio waha kutoka kigoma wako chuoni wameamua kukumbuka home. wanapiga kayoga hapo.
mbona sioni kitu sasa!!!!!
hiyo mirija inatengezwa wapi?
hao ndio waha kutoka kigoma wako chuoni wameamua kukumbuka home. wanapiga kayoga hapo.
Mjini chai "MKUNE" umeujulia wapi? Wengine wanaita "CHISENYA".