Kitambulisho cha Vladimir Putin akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani

Huwezi jua nyuma ya pazia marekani haipo pale kwa bahati mbaya
Inawezekana mkuu.

Huyu Trump wkt wenzake wanaenda kwny vita ya Vietnam yeye alijifanya mgonjwa wa mifupa "akarara mbere kwa mbere",hakwenda wala nini.Cheki mwenzake Putin mamamae hatariiiii sana.

Sijui Patriotism anayoisemaga anaipata wapi,hata wkt wa kufanyiwa briefing na CIA,FBI wanajua kabisa huyu ni zuzu tu hajui kitu khs inshu za usalama.
 
kwa kifupi ile staili ya kutembea putin ni protocal ni maafisa wote wa KGB wanatembea vile mkono mmoja unacheza mmoja unatulia anapotembea.
 
Kipindi hicho Trump yuko bize kutia tia, kusuka mawigi,kutokea kwny reality shows,kuigiza kwny movie za watoto kama ile ya Calvin(home alone 2) mwenzake Putin tayari ni jasusi.

Hawawezi kuongea lugha moja hao.
 
Lakini wote mwisho umekuwa Mwema
 
Back
Top Bottom